Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😁 go ahead ya nani? Leta chombo itolewe mafua
IMG_20220630_163357.jpg
 
Ni tatizo.

Niliwahi kukaa kwenye selection committee kwenye NGO fulani iliyokuwa inatoa scholarships za kusoma Masters kwa vijana kutoka Africa na Middle East. Mimi nilipangiwa kushughulikia waombaji kutoka East na Central Africa. Mbona nilichoka

Kuna tofauti kubwa sana ya kiweledi kuhusu mambo ya msingi kati yetu hata na Wakenya tu hapa. CV zao zimeandikwa kitaalamu sana na zinajitahidi kujibu maswali yote ambayo mtu unaweza kuwa nayo. Ni professional CVs.

Sisi unakuta mtu amekazana na hobbies kibao eti swimming, listening to gospel and rap music and fishing wakati mambo ya msingi hajayagusia.

Njoo kwenye recommendation letters sasa. I know the applicant and s/he will do well in her/his studies mtu kamaliza. Unachukua recommendation letter ya Mkenya ina kurasa tatu profesa anaelezea jinsi anavyomfahamu applicant kwenye personal na professional level...

Mambo haya yanaweza kuonekana kama madogo lakini ndiyo yanatukwamisha sana Kibongo kiasi kwamba ukienda duniani huko kwenye mavyuo makuu na mashirika mengi utakuta wamerundikana Wakenya tuna Wanaijeria.

Huwa inaniuma sana!
3 pages mbona wanitisha nisikusanye yangu
 
Hili ni tatizo. Kuna shida kwenye foundation yetu nchi kama nchi. Hasa kwenye sector ya elimu. Idara ya elimu inaendeshwa zaidi kimazoea kuliko kujua dunia inahitaji nini. Ingawa pia kwa sehemu pia wahusika tumekuwa exposed na mitandao ambayo tunaweza kuitumia kwa manufaa yetu katika kujiimarisha na kwenda na wakati wa dunia ila bado tume stuck, na kilichopo tunakitumia vibaya wachcahe wanao tumia wanapata manufaa kwa sehemu. Ningekuwa na ndoto ya kutoka nje ya tanzania hii comments na ya kwanza imebeba vitu muhimu ningeanza fatilia point to point..

Kina Tinsley cocastic njooni msome hapa itawasaidia
 
Referee anakuandikia 3 pages letter,, unapendwa kiasi gani
Nyie mnabandika Referee ambao hawana uhusiano wowote na nyie. Unataka ajaze nini sasa ? Referee hakikisha ni mtu anae kujua na ni mtu unae mjua, na anajua maisha yako binafsi na ya kazi kwako maana huyo wakati mwingine ndio kama mzamini, sasa kuna mzamini yupo anaeweza kumzamini mtu asie mjua ?
 
Back
Top Bottom