Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Nataka kuwa askari polisi, sema umri umeenda 😄😄😄😄 ajira hakuna. Usalama muhimu sanaNimekuelewa vyema, career nzuri sana mkuu, komaa nayo, dunia kwa sasa inahitaji sana watu kama nyie, mambo ya security.







