Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una uhusiano gani na huyo mtu uliyemwamini kukuandikia recommendation letter? Kama ni profesa alikufundisha una uhakika bado anakukumbuka? Mara ya mwisho uliwasiliana naye lini au mtu hamjawasiliana tangu uondoke chuo na leo ndiyo umekurupuka tu kumtafuta baada ya kuomba kazi inahitaji recommendation.

Tujenge tabia ya kuwa karibu na watu wachache tunaojua kuwa ni wa muhimu katika maisha yetu; na tusiwatafute tu pale tunapokuwa tunawahitaji. Hili ni jambo la muhimu sana maishani.
Haya wengine sie, hata kuwasogelea tyuuh wanasikia kichefu chefu, tutazoeana nao mda gan? Khaaaah tabu tupu. Lol
 
Okay pale field kuna mtu uliyekuwa unareport kwake .. mfano Mkuu wa idara ya sehemu hiyo

huyo ndo anayefaa maana ameona utendaji wako wa kazi kipindi cha field . Ndo maana inashauriwa wakati wa field tuwe wachapa kazi na watiifu
Ili baaadae uweze kuwa na sifa nzuri .

Japo Mimi nilikuwa kabishi hako kipindi cha field
Walitaka kutufanya wafanyakazi wao (overwork)
Labda kwa field hapo, maana kila nilipopita niliacha sifa na alama, na nilikua napendwa. Ngoja nimtafute yule mama kwan.
 
Labda kwa field hapo, maana kila nilipopita niliacha sifa na alama, na nilikua napendwa. Ngoja nimtafute yule mama kwan.
Ooh vizuri .. uliishi nao vyema .
Nahisi sikuwa bahati na field

Supervisor wa field alikuwa mtata .. hataki hata mtu akae ofisini kwake , hakuna tulojifunza na tulikaaa field miezi minne
 
Ooh vizuri .. uliishi nao vyema .
Nahisi sikuwa bahati na field

Supervisor wa field alikuwa mtata .. hataki hata mtu akae ofisini kwake , hakuna tulojifunza na tulikaaa field miezi minne
Field bhana huwa nakuaga zoba na mfanyakazi, sichagui chochote nachoambiwa nafanya, yaan sometimes unatumwa kununua kitu upande wa pili unapuyanga hivyo tyuuh.
 
Back
Top Bottom