Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jitahidini kutunza vipande kesho nitapost nywele😁😁
284B7195-2019-43E9-BBEA-6DD65EA496D9.jpeg
 
Nitumie mimi mjukuu. Nitakuandikia recommendation letter nzuri sana. Nitasema mpaka unavyoporomosha matusi mtu akiingia kwenye anga zako; na kwamba hata wakiwa mia lazima utawasambaratisha tu. Hii ni quality nzuri kwenye organization zenye hekaheka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787]
 
Nimecheka mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu babuuuh kuna mchongo m1 nimeupata, jinsi ya kuvukia huko mambelee. Sema siamini sana. Nilihitaji ufafanuzi kutoka kwako.
Sema naogopa km ntakukwaza au kukuvunjia heshima.

Mbona tayari nahisi kama ni mchongo feki?

Sina heshima ya kuvunjiwa mimi mitandaoni humu maana sina mtu anayenifahamu personally; na nipo kujifurahisha tu. Kama ni ishu genuine njoo tu mjukuu wala usiogope.

Nikufungulie PM?
 
Back
Top Bottom