Selfika na JF: Snap it. Show it

Pamoja na unyakanga wako ba bado ukaachwa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukutwa Red handed kuna usalama au utetezi tena? Pale sikua na cha kufanya afu nilivyo mjinga nkaanza kutibua, daaah akili za utoto, hata msamaha sikua na mda wa kuombaa. Nilijiona mjuaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayanaga muongozo [emoji28][emoji28]

Niliwahi kupendwa na demu mmoja mjeda,pamoja na utundu wote kuanzia kulimwaga Uno km la diamond Kwa zari hadi kumwimbia Kwa gitaa na miruzi wakati wa kugugeda lkn niliachwa[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mapenzi yamewakuta wenyeweeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…