Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huko sio kumfurahisha sasa ni kujitafutia kansa tu ndo maana magonjwa ya kutoa harufu hayaishi utaona vinakusaidia mwanzo lkn unaharibu maumbile yako ukijakushtuka Rambo hili hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Vinipitege tu
Ah sahihi
Hizo za Yoni aisee ni balaa , wanaweka then inakaa huko baada ya muda ndo wanatoa

Hayo tuwaachie wazungu kwa kweli
 
Nipo Riverside

Bado napepesa

Nikiona wa kunifaa

Naenda nae kuzungumza

Kule stoo

Ila hapa ni noma

Vitoto vidunchu mambo yao sasa[emoji1787]
Aagh ankoli Mimi hao wamenishinda Kwa kweli

Raha ya mwanamke nimtongoze huku namwangalia usoni na yeye anainama chini Kwa aibu,wakati wa kula mzigo romance na maneno matamu.Sasa hao wa kununua unakosa hizi Radha muhimu ankoli
 
Haya sasa wale wenye tangawizi zilizoungana na mikono mnaona vidole hivi? Wenyewe mnajijua sitamtaja mtu jina [emoji28][emoji28]

Au ngoja Tu niwatag kwani itanikosti sh ngapi[emoji28]..
CC cocastic Depal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr mie ndo wa hivyo? Kwa taarifa yako, vidole nimejaliwa, labda kucha ndo cna, huwa natafuna.
 
Mmh mwisho kutoa harufu kilakitu kimeumbiwa sehemuyake ndo maana kukosoft sio kwa ajili ya vipipi [emoji16][emoji16]
Kitu special kwaajili ya huko kinajulikana sio vipipi Wala vijiti sema wanawake tutafika mbingun tunaburuzwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila hvyo vipipi ankoli hatangazi ndoa, upooo shangaziii?
 
Back
Top Bottom