Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hasa yoni ndo nn tena jmn
Okay dear
Yoni pearls huitwa lulu za kuondoa sumu kwenye uke, ni mipira midogo iliyofunikwa kwa kitambaa iliyojaa mimea, kama vile: motherwort malaika borneol rhubarb rhizoma osthol Lulu ,hizi za nguo huingizwa kwenye uke wako kwa saa 24 hadi 48 kwa kutumia kupaka plastiki.
 
Zipo mpaka dawa za kuondoa mnato eti mbususu iwe kavu mwanaume afaudu msuguano wa nyama kwa nyama. Watu wa harakati za UKIMWI wamepambana kweli kweli na sijui kama walipiga hatua kulitokomeza hili.

Yaani wanawake kusema kweli huwa wanatuhangaikia sana ili turidhike kumbe sisi wakati mwingine tunachojali ni mtako tu kama upo basi roho kwatuuuu [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Khaaaa🙌🙌🙌🙌
Ndo maana kansa za vizazi haziishi
 
Nimefundisha katika mabara matatu tangu nikiwa kijana wa 30s huko miaka ya mid 70s...na sijawahi kamwe kugegeda mwanafunzi...

Huwa nawachukulia kama wanangu tena kama hivi vya sasa vidogo vinatia huruma japo vinajifanya vinajua kila kitu.

Kuna heshima fulani ukijulikana kuwa wewe ni mtu wa principles na hakuna mchezo mchezo....

Mjukuu will be safe with me [emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenzako walifundsha mabara yote, akaangukia kwa myao m1 hivi, ila yule prof daaah, eti anaonesha pepa lote, uwiiiiih. Watu wanalisolve tyuuh.
 
Okay dear
Yoni pearls huitwa lulu za kuondoa sumu kwenye uke, ni mipira midogo iliyofunikwa kwa kitambaa iliyojaa mimea, kama vile: motherwort malaika borneol rhubarb rhizoma osthol Lulu ,hizi za nguo huingizwa kwenye uke wako kwa saa 24 hadi 48 kwa kutumia kupaka plastiki.
🤔🤔asante
Eeh kuna mambo kumbe
 
Huu uwongo wenu unawasaidia nn? Kuweni wakweli mnaogopa kufanywa misukule.
Hapana mjukuu.

Unaweza kuwa na mbususu tight na mnato kuliko zote duniani lakini kama una kauli za hovyo full kisirani na gubu, mjuaji wa kila kitu, heshima zero + uanaharakati uchwara mbona hakuna kitu? Watu watakuwa wanapiga tu na kusepa wanakwenda kusimuliana huko.

Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke anayejitambua uanamke wake na nafasi yake ya kiungu kama mwenza, mama, mlezi, mke, rafiki na msaidizi...

Nyinyi vijana wa siku hizi vurugu tupu mnakuja kutulia hukoo mid 30s [emoji51][emoji51]
 
Huko sio kumfurahisha sasa ni kujitafutia kansa tu ndo maana magonjwa ya kutoa harufu hayaishi utaona vinakusaidia mwanzo lkn unaharibu maumbile yako ukijakushtuka Rambo hili hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Vinipitege tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kifungashio sio rambo. Ivi kifungashio kikichakaa mnajua kipoje? Uwiiiiih
 
Umeamka au

Umeachiwa[emoji848]
Nimezinduka
IMG_20220627_230549_923.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nimefundisha katika mabara matatu tangu nikiwa kijana wa 30s huko miaka ya mid 70s...na sijawahi kamwe kugegeda mwanafunzi...

Huwa nawachukulia kama wanangu tena kama hivi vya sasa vidogo vinatia huruma japo vinajifanya vinajua kila kitu.

Kuna heshima fulani ukijulikana kuwa wewe ni mtu wa principles na hakuna mchezo mchezo....

Mjukuu will be safe with me [emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Daah huku nikujielewa kwa kiwango cha SGR.
Nimeipenda sana hii
 
Back
Top Bottom