Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Nashauri hao wauzaji waendelee kuhamasisha hili wapige pesa tu hahaEeh vinaongeza upendo [emoji28]
Nashauri hao wauzaji waendelee kuhamasisha hili wapige pesa tu hahaEeh vinaongeza upendo [emoji28]
MakubwaEeeh hebu nieleweshe hivi vitsick nn, maana nasikia sielewagi.
Ili iweje?Uswahilini wanaweka cofta viskingo au pipi kali anaweka na limau yani K inaungwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Rudi Dar ili ulainike,huko chuga kunakufanya unakosa kujua mambo muhimu ya kike..Duh
Yan huwezi amini,, ndio nasikia sahivi haya mambo [emoji848] [emoji15]
Wanatumia watu gani? Waliokwisha pata watoto or?
Yeah watu wamekuja mjini kutafuta hela [emoji23]Nashauri hao wauzaji waendelee kuhamasisha hili wapige pesa tu haha
Toka lini[emoji1787][emoji2089]Raaaabeeeekaaaa mate!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siyo mjaluo wasiotolewa govi,alafu siyo wa hospitali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nawee post picha ikionesha alama ya mtuno wa Govi lako.
Pigweni sana na haisaidii😂😂Yeah watu wamekuja mjini kutafuta hela [emoji23]
Mkuu Mr Shimba ya Buyenze huyu mtoto usiruhusu kbs hata kukanyaga ofisini kwako anaweza kukutafutia sababu mkajikuta kwenye 6×6Ukija UD ntakua nashinda hapo ofisini kwako babuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwisho wa siku mnakuja kuangukia kwetu Sisi kina stivu NyerereTalk dark handsome man
Nipo RiversideMimi siyo mjaluo wasiotolewa govi,alafu siyo wa hospitali
Mimi ni wa porini kavukavu bila ganzi..Kitu km mshaleeee
Hivi si muda wa chakula cha usiku huu?? Ngoja nitafute kichenchede[emoji39][emoji39]
Ngoja avute ndumu alanduke ndy utajua Depal siyo mpoleNakupenda jirani mwema na mpole[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji2089]Ngoja avute ndumu alanduke ndy utajua Depal siyo mpole
Shauri yakooooo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukija UD ntakua nashinda hapo ofisini kwako babuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado wanaachwa[emoji23]Uswahilini wanaweka cofta viskingo au pipi kali anaweka na limau yani K inaungwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Ila we dea kumbe ni mpanaa hivi? Mic u mnoooo.Ah noma
Vipipi vya utamu vinaitwa [emoji23][emoji23]
J3 naingia kikaangoni mate. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaanza kukukaanga hii wiki au j3?
Sio uganga vipipi vinasaidia kiasi chake kwa wenye shida zao mwisho wa siku .. mtu anampenda ... Hawawezi kuacha maana akili zao zishaamini hivyo .Pigweni sana na haisaidii[emoji23][emoji23]
Mchawi ni ulomi tu dadangu.
Binti ukijaaliwa hekima na busara na kuutumia ulimi wako vizuri mbona huhitaji mganga?
Shimba ya Buyenze
Tia neno hapa mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo lako
English nyingi
Sio wote tulisoma asee