CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Hapana mjukuu.
Unaweza kuwa na mbususu tight na mnato kuliko zote duniani lakini kama una kauli za hovyo full kisirani na gubu, mjuaji wa kila kitu, heshima zero + uanaharakati uchwara mbona hakuna kitu? Watu watakuwa wanapiga tu na kusepa wanakwenda kusimuliana huko.
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke anayejitambua uanamke wake na nafasi yake ya kiungu kama mwenza, mama, mlezi, mke, rafiki na msaidizi...
Nyinyi vijana wa siku hizi vurugu tupu mnakuja kutulia hukoo mid 30s![]()



























Nenda hooters ntalipa





