Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ktk familia yetu ni huyo brooh, yaan ni mkimya, mpole, mtaratibu akiwa anaongea yaan kheee,

Shida ipo kwangu, kwa dogo, na dada angu m1 huyo, kheeeh ni hatareeee, vurugu mwanzo mwenga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo bro ako ndo kama mimi ila watu kama sisi tuna matukio ya kimya kimya
 
IMG_20220625_215742.jpg
 
Cuzoo wako cocastic yuko wapi? Anapitwa pigo za kiTupac hizi laivu kutoka California....

On a serious note. Mungu Aendelee kukubariki aisee. Unajiamini sana na inavyoonekana unaishi maisha yako halisi. That's very commendable young bro...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mie, muache tukifika tyuuh air port, mie nachukuliwa na niggah hapo tunayeya zetu.
 
Back
Top Bottom