Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
🤣🤣🤣Jirani
Nimezimua kidogo
Mbege na loshoro…
Tatizo Chuga kumekuharibu sana😂nitarudi kuibold ujue?? 😂
We si ndio shost wangu wa daima 😁😁🥰
Kaka una jirani wangapi?😂Jirani leo uko vizuri..
Kwa nn ucheke mtoto wa Tanga!?Manake ncheke kwanza![]()
Chuga kuna shida gani rafikiTatizo Chuga kumekuharibu sana😂
Nitafute hela nikupeleke mahali ukafundishwe kuwa romantic japo kidogo😂
Ndioooo me na wewe tugeza forevaaa😍😘😘😘
Habari mkuu wangu wa kazi..._K😁
Kuna namna kumemfanya huyo bint asiwe romanticChuga kuna shida gani rafiki
Mkuu mimi nasafiri sana mikoani.. majirani ni wengi.Kaka una jirani wangapi?😂
😄😄😄😄 Kwema kabisa mkuu, habari ya majukumu ? Tupo hapa tunapiga sogaHabari mkuu wangu wa kazi..._K😁
Huenda nami jirani yako eeMkuu mimi nasafiri sana mikoani.. majirani ni wengi.
Sifahamu hiyoHivi kuna tamthilia nzuri kuizidi Kombolela?
😂😂😂😂 yan kwamba mie uromantic sina jamani 🤣🤣Tatizo Chuga kumekuharibu sana😂
Nitafute hela nikupeleke mahali ukafundishwe kuwa romantic japo kidogo😂
Ndioooo me na wewe tugeza forevaaa😍😘😘😘