Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Huwa nina interact nae mala kadhaa, tunaishia salam hi tabasamu mwanana najipiga kifua tuu nasema watu wanalala pazuri, nilikosa confidence na sina confidence ya kusogea.. nilisha ingia kingi kwa design hizo miaka kadhaa niliomba poo.. mtu anakunywa hela sio kutumia 🤣🤣🤣🤣..Kwa hiyo ulibwaga manyanga mazima kisa mwekezaji au bado unaendeleza harakati za uwekezaji mpya?












