myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Inawezekana kabisa..Huenda nami jirani yako ee
Inawezekana kabisa..Huenda nami jirani yako ee
Micn you
Nipo hapa nimejaa tele unaniita???!
NaamNipo hapa nimejaa tele unaniita???!
Niko hapa mkuu am about to 😴😴😴😴!!Naam
AhaaNiko hapa mkuu am about to 😴😴😴😴!!
Khe nilipitwaUsiogope Mimi ni mstaarabu kila mtu anajua hapa jf ..We uliza mitaa yote![]()


😴😴😴😴😴😴😴😴Ahaa
Nitakupeleka wacha atume nauli kwanza😂😂😂😂😂 yan kwamba mie uromantic sina jamani 🤣🤣
Basi nipeleke dar kwa Satoh Hirosh
Wauweeeee shooo akeeee 😍😍
Ktk familia yetu ni huyo brooh, yaan ni mkimya, mpole, mtaratibu akiwa anaongea yaan kheee,Wow sijui inakuwa(ga) je yani kwenye familia maranyingi utakuta mtoto mmoja au zaidi ambae ni mpoole alafu kuna huyo mmoja sasahaambiliki koroofi







Ubize huu acha kabisaMiss you more sweetheart!!![]()
... nimepitwa na Ile selfie yako ya siku ile kipenziWee weekend umeendaje pekee yako? Ndo maana nakununiaga, ushougaa gan huu, au ushouga mboga?Hahahaaa... sawa mr vocha badae nitapita nakeeeedddddddddd kabisa usiwaze!






Kijana leo uko....😁😁😁😁
Sijaona selfika yako kitambo mrembo hebu tubariki basi?Ubize huu acha kabisa... nimepitwa na Ile selfie yako ya siku ile kipenzi