myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
😁😁Maneno ya vijana haya yananichanganya jirani
😁😁Maneno ya vijana haya yananichanganya jirani

Ndio AzamSifahamu hiyo
Ipo Azam eeh ?
Na kasauti kangu kama Wema Sepenga
Una kauchokozi mpendwaKwa nn ucheke mtoto wa Tanga!?
Una majirani jf yote kasoro siasani 😃Mkuu mimi nasafiri sana mikoani.. majirani ni wengi.
On repeat mode sisi ambao hatulew bila mpira na mziki hatuendiTulikutana JF sweet corner selfika
Akaniomba aongee na mi
Nikamuuliza wapi ntakuona
Akanijibu ni Manzeseeee 🔥
😂😂 vijana wa mjini haoKweli umri umenitupa mkono mie😂
😂😂😂On repeat mode sisi ambao hatulew bila mpira na mziki hatuendi
🤣🤣🤣Una majirani jf yote kasoro siasani 😃
Umechelewa![]()
Hehehe
Eti jiamini
Pisikali mna kamsemo kazuri
Ka kutia moyo
No nobody, no like it😂😂😂
Tunzo kanitunikia Manzese
Zawadi kanipatia manzese
Unacheka kwahioNimefanyaje?![]()
We always been the baddest couple everNo nobody, no like it
She don't mind it yeah yeah
She probably feelin lyk go running running
Baby am coming home
Bila ya hii selfika sweet corner nsingekujua jamanWe always been the baddest couple ever
See anybody knows navy knows kenzo never
Know how far we came hard but together
Some days we get lit and play hide and seek
Tumboni ni njaa ila kitanda raha na joto
Twamshukuru mola uhai familia na ndoto
My love kazaliwa, manzese
Mungu kanijalia, manzese
Tunzo kanitunukia, manzese
Zawadi kanile tea, manzese
My love love love, manzese