Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Usiku hulali, na ukilala unaniota tuuu😂😂😂😂 kuna vile vibiskuti, nikila nakuona jamani
Usiku hulali, na ukilala unaniota tuuu😂😂😂😂 kuna vile vibiskuti, nikila nakuona jamani
Aiseeee....😍😍😍🎶Baby corner corner
waka waka When you enter omalicha
Baby corner corner
Will you give me sugar wahala hala🎼
Majo monalisaaa majo monalisaaa majo monalisaa🎶
Mlale unono wapendwa!!!😴😴😴😴
😂😂😂Wacha tu Satoh Hirosh aumie, mtoto pisi kali
Abeeeee🎶Baby corner corner
waka waka When you enter omalicha
Baby corner corner
Will you give me sugar wahala hala🎼
Majo monalisaaa majo monalisaaa majo monalisaa🎶
Mlale unono wapendwa!!!😴😴😴😴
Ile barua ilileta mtafaruku mkubwa sana. Dogo anatembea nayo yaani. Nimemwambia ailamineti kabisa aiweke sebuleni akitaka. Hovyo kabisa [emoji16][emoji16]Kumbe barua ndy sababu? Mwambie kijana wako arudishe moyo
Siyo kweli[emoji28][emoji28]Satoh Hirosh ya kweli haya?
Tena kama leo!!! Naona ndio nitaweweseka 😔 🤣🤣Usiku hulali, na ukilala unaniota tuuu
🤗🤗😜😜😜😜💃💃💃 mama pasta wajua napenda mziki mie!!😘Abeeeee
😊😊😊 Loe hulali kabisaa na ndio nia yanguTena kama leo!!! Naona ndio nitaweweseka 😔 🤣🤣
Eeeh nalijua hilo🤗🤗😜😜😜😜💃💃💃 mama pasta wajua napenda mziki mie!!😘
Usinifanyie hivyo shoga, we ndio mchizi wangu ujue😍😍😘😘Sikaushiiiii
Napanda juu ya dari na kipaza sauti 🎤
Asee[emoji28][emoji28]Aliprint ile barua anatembea nayo. Kila akiisoma chozi hiloo basi mi mbavu sina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bila konfidensi katika dunia hii ya wababe akina Hirosh mbona kazi anayo?
Ndiwooooo!!🤗🤗🤗🤗🤗🤗Aiseeee....😍😍😍
Hatujagombana 😂😍Siyo kweli[emoji28][emoji28]
Narudia tena Depal ana mtu anapendana nae sn,tena ni wa humu humu? Alafu Kwa nini kabadilisha avatar kagombana na Mzee Baba?
Dah!Eeh ametuahidi hapo
Kwendraaa wewe 🤣🤣😂😂😂😊😊😊 Loe hulali kabisaa na ndio nia yangu
Ndiyo...Tena nimeipiga jana tu [emoji123][emoji123]Mmh picha ya Shimba?
Saluni ya mama Kimbo naona ilikaa kiswahili mno..sikuipenda.Nzuri sana
Nilipenda ile ya mama Kimbo
Mmmh wewe huyo utume picha?Ndiyo...Tena nimeipiga jana tu [emoji123][emoji123]