Usicheke nipo serious mremboHahahhahhahhahhaaa!

Kwaitooooo which dyadyaaa? Wakati mtacheza madufu 😂😂😂Watu tucheze kwaitoooo💃💃
Kwani hamjaachana tu bado?🤣😂Saa ngapi nimekuwa single mie shost 🤣🤣🤣
hapo ni watu 4 tofauti😂😂😂😂😂😂😂 hawajulikani waliko
Weeee usituletee hizoKwaitooooo which dyadyaaa? Wakati mtacheza madufu 😂😂😂
BadoKwani hamjaachana tu bado?🤣😂
😂😂😂😂hahahaaa... na nilivododa hapa sasa 🤔🤔🤔!!!!
Cuzoo wako cocastic yuko wapi? Anapitwa pigo za kiTupac hizi laivu kutoka California....
Wengine hivi vyakula tunaishia kuvidanlodi..Maisha hayana usawa kbs


Mamaa wajua Jf 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nawaogopa kama ukoma lakini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃✌️✌️😂😂😂😂
Ndio ivo shoo..bahati haiji marambili
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bado
Na dalili hakuna
Penzi liko pambe tu 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Na hii baridi nakubalije kuachika😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mamaa wajua Jf 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nawaogopa kama ukoma lakini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃✌️✌️
Kuliko na wabaya wazuri hutokea humohumo jirani..Mamaa wajua Jf 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nawaogopa kama ukoma lakini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃✌️✌️