Leo nina bahati kweliView attachment 2272006
Usiku mwema nyoote
Ahsante mzungu😍😍
Leo nina bahati kweliView attachment 2272006
Usiku mwema nyoote
NdiwooooooEm mtaje af nitakwambia ndiye au sie😂
Polepole dokta....Unakosea bwana. Unamwitaje Shimba ya Buyenze Baba wakati yeye anaandaa project na wewe? Unafanya mambo yawe magumu asee
Air Max Kali sn ndani ya Mguu wa biaNa picha basiView attachment 2271992
Tuliona barua fulani yenye mwandiko wako ikatuvuruga akili mi na mpwa wangu. Mpwa alianza kulia mpaka ikabidi nimdabue kofia ili kumuweka sawa. Na tangia hapo kanywea hata raha hana.
Kwema huko lakini? Bado uko kwa Wasukuma wako au umeshaondoka zako?
Satoh Hirosh barua naomba zisitishwe mkwe atamzimisha kijana wake 
Nawee pia Alicia!!!View attachment 2272006
Usiku mwema nyoote
Najaribu kumsaidia kijana, inaonekana anateseka sana sababu yakoNdiwoooooo
Mguu umetulia ule..Air Max Kali sn ndani ya Mguu wa bia
Mmh picha ya Shimba?Asante Sana
Twasubiri tuone hiyo picha
😂😂😂😂😂 we ni mkorofi sana 🤣🤣Umekumbuka tiket za mchongo🤣🤣🤣
Tunajipanga upya. Sema tu mpwa wangu naye hana konfidensi sijui kha!I miss u dear nipo Sana
Naona mkwe kanikabidhisha kwako mazima asije kulalamika mpwa wake kaibiwa
😂😂 ameamua mwenyewe kuteseka lakiniNajaribu kumsaidia kijana, inaonekana anateseka sana sababu yako
🤣🤣🤣🤣🤣 we ndio umenifundisha ukorofi😂😂😂😂😂 we ni mkorofi sana 🤣🤣
Naishukuru Camera kwa kweliAir Max Kali sn ndani ya Mguu wa bia
Umehengeka lini?Nakuona mhenga mwenzangu swalama![]()
Mwambie konfidensi muhimu asipoangalia atapinduliwaTunajipanga upya. Sema tu mpwa wangu naye hana konfidensi sijui kha!
😂😂😂😂😄😄 we me mpole sana, me mwenyewe nakopi kwako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we ndio umenifundisha ukorofi
Satoh Hirosh ya kweli haya?😂😂 ameamua mwenyewe kuteseka lakini
Nimefanyaje madam 😀Nawee pia Alicia!!!