Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,851
- 37,564
Aleeleee😘😘😘we Antonnia hebu utulie hapa na kaka etu💃Usiogope Mimi ni mstaarabu kila mtu anajua hapa jf ..We uliza mitaa yoteView attachment 2271964
Aleeleee😘😘😘we Antonnia hebu utulie hapa na kaka etu💃Usiogope Mimi ni mstaarabu kila mtu anajua hapa jf ..We uliza mitaa yoteView attachment 2271964
Kitu range rover au sio. Mlimbwende akikalia tuu leather seat kyupi ilishalowa anabaki kujichekesha chekesha tuu.Nikimtaja na ikatokea dogo anapita hata kama guest, dogo anaweza unga dot akanitambua 😄😄😄 acha nikause ila jamaa sio.mwepesi hata kidogo nilie mkuta nae kwenye ile chuma.. maana chuma yenyewe hiii babaa noma
Hahahahaaaa!!!
Eeh nakupa jero😁Nikitoa taarifa unanilipa 😄😄😄
thUnajua kuselfika mkuu 🙂
Shukran sana pia balikiwa sanaCuzoo wako cocastic yuko wapi? Anapitwa pigo za kiTupac hizi laivu kutoka California....
On a serious note. Mungu Aendelee kukubariki aisee. Unajiamini sana na inavyoonekana unaishi maisha yako halisi. That's very commendable young bro...
😄😄😄😄 Ni gari ya ulaya, ningekuwa sijataja gate na parking ningemtaja hata mwamba na aina ya gariKitu range rover au sio. Mlimbwende akikalia tuu leather seat kyupi ilishalowa anabaki kujichekesha chekesha tuu.
jero hata 3 Bomba sipati, kaa nayo mwenyeweEeh nakupa jero😁
Hiyo siangalii hata naangalia St novela huku hadi nazima Tv hapo hapo .Si kuna ile st swahili…
Last time niko kwenye nyumba yenye startimes ni kipindi cha Double Kara….
Ilinibamba sanaaaa
Ulishamfuata bwna king....nyie bwana wabaya kweli ata kunikaribisha nile hapo hotelini...kweli bodaboda mnatutenga sanaHahahha jmn
Duh
Leo Niko mjini
Karibu mcity
Hongera jiraniKabisaaa imeniisha… na hivi nilikuwa niko na muhindi wa kuchemsha..
Now burudaniii
Miaka 76 sina ishu dokta...Kuna kitu anataka kukunyima siyo bure
Mbn ametanguliza neno bro mbele

Afadhali madam Tina unanisuportN
Ndiooooo nakaziaa
Madamu muelewe mwenzio
. Asante snAsante sana MkuuTinsley cha upole.
Kwema sis?![]()

Azam ile Kombolela au mapishi, au kina simba na yangaHiyo siangalii hata naangalia St novela huku hadi nazima Tv hapo hapo .
Double Kara ilikuwa nzuri sana
Nimetamani Azam maana kuna channel nimezipenda huko .
😂😂😂khaaa kumfuata tena🙈🙈Ulishamfuata bwna king....nyie bwana wabaya kweli ata kunikaribisha nile hapo hotelini...kweli bodaboda mnatutenga sana