Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,225
Sijambo jirani habari za weekend!!Jirani hujambo..
Sijambo jirani habari za weekend!!Jirani hujambo..
Naam..ni kheri jiraniIwe kheri jirani
😂😂😂 wakuje bana,, watu mule ubwecheWako getini kwa mama D😂😂
Che Guevara Hasta siempre
Salama kabisa..Sijambo jirani habari za weekend!!
Usichoke ku approach 😅😅😅Aaaah! bwana weee acha tupambane na watao ingia guest bubu.. nyie bakini na wa hadhi yenu.. bao ni bao tu.. tunatafuta nyenzo ya kurahisisha kutoa bao
Kuhusu nini mdogo wangu??Tunafanyaje sasa
Nialikwe na mimi jirani😂😂😂 wakuje bana,, watu mule ubweche
huSafi sana kijana wangu..tupia na nyingine ukiwa na shemeji yetu tumwone
huyo sinaSafi sana kijana wangu..tupia na nyingine ukiwa na shemeji yetu tumwone
Unajua kuselfika mkuu 🙂
Duh....vyote hivyo jirani...
Shaka ondoa jirani selfika 😁Nialikwe na mimi jirani
😄😄😄 nyie wa kishua, ma sie wa matopeni huku wapi na wapi.. acha tupambane na size zetu.. mtoto akila mihogo na pepsi chali.. sio nyie hadi mumtunuku mtu kafilisika tayari 🤣🤣🤣Usichoke ku approach 😅😅😅
Jana uliweka ile nilokuomba jirani??Salama kabisa..
Ushaambiwa hao ni wanaune 4 tofauti😂Duh....vyote hivyo jirani...
😂😂😂😂 hawajulikani waliko
Kabisa yaani.Mtoto mkali km Antonniana hata hujutii kutekwa nae..
😄😄😄 waumbeni kurahisisha kazi