Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣 na ya walimwengu… na viroja vyao..

Nipo nacheZa haka ka singeli 😂😂

Kupendwaaa rahaaa
Jamani rahaaaa
We Lenie anaringaaa anapohisi anapendwaaa 🎶 🎤

Eeh bwana Mkunaji limemkuta pele
Sijui nn nn pamenipita 😂😂

Kama kupendwa maradhii basi mie niko hoi taabaniiii
Aisee...jirani baridi itakuwa imeisha.
 
Amen
kumbe na we ulikuwa live unamfuatilia baba
Kesho anamaliza!

Jimboo ss
Hebu ngoja kwanza

It seems ulipitwa pia hapa na uziii

Wanarusha laivu sehemu tatu...

Na sijaanza leo kumfuatilia huyu mwalimu. Nina madaftari hapa yamejaa notisi zake.

Naweza kusema namchukulia kama ndiye Mchungaji wangu. Hata sadaka huwa natoa huko....

He is extremely gifted na analijua Neno....What a blessing....

Naomba tena wakumulike na yale makamera yao
 
Hii pisi kuna siku nilikuwa naifukuzia , imetoka getini naifata parking, nikakuta kuna unyama mmoja hatari upo silence nisitaje gari na hata mtu, ila ni muwekezaji flani .. magoti ya kaishiwa nguvu ... but ni kisu hasa ukikutana uso uso kwanza pole sio ongeaji hatari...View attachment 2271953
Kwa hiyo ulibwaga manyanga mazima kisa mwekezaji au bado unaendeleza harakati za uwekezaji mpya?
 
Wanarusha laivu sehemu tatu...

Na sijaanza leo kumfuatilia huyu mwalimu. Nina madaftari hapa yamejaa notisi zake.

Naweza kusema namchukulia kama ndiye Mchungaji wangu. Hata sadaka huwa natoa huko....

He is extremely gifted na analijua Neno....What a blessing....

Naomba tena wakumulike na yale makamera yao
Amen amen
I'm humbled jmn🙏🙏🙏
Ni baba wa wengi huyu,TZ tunajivunia.
 
🤣🤣🤣 na ya walimwengu… na viroja vyao..

Nipo nacheZa haka ka singeli 😂😂

Kupendwaaa rahaaa
Jamani rahaaaa
We Lenie anaringaaa anapohisi anapendwaaa 🎶 🎤

Eeh bwana Mkunaji limemkuta pele
Sijui nn nn pamenipita 😂😂

Kama kupendwa maradhii basi mie niko hoi taabaniiii
😂😂😂😂😂😂😂
Mbavu zangu jamani
 
Back
Top Bottom