Mwambie huyoKuliko na wabaya wazuri hutokea humohumo jirani..
Katuni ni za washua ndioo😂😂
Nipo. Miss you too.Miss youuuuu
Ndiooooo nakaziaaUsicheke nipo serious mrembo[emoji41]
Jirani ndio Unataka kusemaje kwa mfano!! Mfano tu 🤭🤭🤔🤔??Kuliko na wabaya wazuri hutokea humohumo jirani..
Jirani......Lol bora huko huko sasa huku ndio unapotea kabisaaaaa!! 😉
Dah [emoji28][emoji28] umenitajia sophy27 nimetabasamu hapa.Nimemmisi SanaMarahaba dokta. Na heshima hiyo ikurudie 7 mara sabini....
Majukumu naona yamekuzidi unaonekana kwa shida. Au ni mpwa wangu Sophia anakaba mpaka penati??
Sijamuona bwana wapi yupo na mie nikoshe machomzabzab umemuona Fine girl 😎😎
Wa JF ndo hao hao wa mitaani [emoji16][emoji16][emoji16]Mamaa wajua Jf [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] nawaogopa kama ukoma lakini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji3577][emoji3577]
😂🤣🤣 bado hatujaachana maana wachawi wako likizo 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikajua mshaachana
Anyway hongereni sikudhani mngedumu muda mrefu hivi
Hahahaaa Tina wacha nimalize uzee nahawa wahuku kitaa mamaa !!😘😘😘N
Ndiooooo nakaziaa
Madamu muelewe mwenzio
Enjoini sasa kabla hawajarudi kazini😂😂😂🤣🤣 bado hatujaachana maana wachawi wako likizo 😂😂
Hapana,picha haijawa edited.Ni mrembo snMwehh!!Ukiniona Utakimbia mkuu shukrani kwa camera
Usiogope jf ya jana jirani..ya leo inaweza kukidhi haja.Jirani ndio Unataka kusemaje kwa mfano!! Mfano tu 🤭🤭🤔🤔??
Weeehh msukuma Wana utofauti mkubwa sana!!Wa JF ndo hao hao wa mitaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Dah [emoji28][emoji28] umenitajia sophy27 nimetabasamu hapa.Nimemmisi Sana
Majukumu Tu docta yamekuwa mengi siku hizi,alafu nimekuwa mzito wa kushika simu.Ila nashukuru sijambo Mzee wangu
Fine girlSijamuona bwana wapi yupo na mie nikoshe macho