Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Unamuweka hata kwenye bonnet😄😄 kikubwa afikeMoyo wangu mbona uko full!! Hauna hata branches za kupenda kwingine 😂😂😂
Unamuweka hata kwenye bonnet😄😄 kikubwa afikeMoyo wangu mbona uko full!! Hauna hata branches za kupenda kwingine 😂😂😂
😂😂😂😂😂Maneno yote haya yanatoka wapi..Mbona unatumia nyundo kuua mbu?View attachment 2271975
Mjini hamna hurumaAmeshindwa test kabla ya kuifanya..imebakia huruna yako jirani..
Huko patamu sanaSinema zetu uwa wanarudia rudia sana, ila sina uhakika wa hivi karibuni.
Karibu huku kwenye mipira ya Ulaya
KhaaaaaaJamaa kachima wese akufuate akupelekea dar ule maraha ya jiji. Aisee...kweli hela mchawi wa mbususu
Umeona mlivyo sasa 🤠🤠Mjini hamna huruma
Ah huwa anasema yupo 76ila wewe
😂😂😂😂 watoto wadogo hawajui kujiongeza si ndioLabda anapendwa na wewe so anakurahisishia kazi anataka ujiongeze
Me nakupa tips shauri yako😂😂
Na unaamini? 😂😂Ah huwa anasema yupo 76
So anastahili hii heshima .
Mzee wangu hajafika hapo ndo Kwanza late 60's
Mtuzoeee banaUmeona mlivyo sasa 🤠🤠
Af wanakuja hapa kutulaumu bure😂😂😂😂😂 watoto wadogo hawajui kujiongeza si ndio
Mjue jino kwa jino 😄😄Mtuzoeee bana
Niko upande wako kabisaAfadhali madam Tina unanisuport. Asante sn
Unamfanyiaje jino kwa jino mtoto wa kike? Ndio maana kumbe mnakaziwa 🤣Mjue jino kwa jino 😄😄
Waache kutusumbua basi kama hawajui kula na kipofuAf wanakuja hapa kutulaumu bure😂
🤣🤣🤣🤣 shida ipo kubwa sana hapaUnamfanyiaje jino kwa jino mtoto wa kike? Ndio maana kumbe mnakaziwa 🤣
wapo wanao elewe swaga za jino kwa jino, hasa wa pande za chuganian.. nyie wa humu hadhi zenu ni kina Mo 🤣🤣🤣Unamfanyiaje jino kwa jino mtoto wa kike? Ndio maana kumbe mnakaziwa 🤣
😂😂😂Sura yangu hii pesono na sina hela pisi kali nitapata wapi.
Kama mawardat tuu mwenye tako skonsi kanitosa ndio itakuwa huyo🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Af wanakuja hapa kutulaumu bure😂