Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Wametii nini?Nyie Dadaz wa humu
Hivi hamjaona wenzenu wawili
Wametii bila shurti
Mnangoja nini
Chap kwa haraka picha hizo
Leo ni Babaz Dei
Wametii nini?Nyie Dadaz wa humu
Hivi hamjaona wenzenu wawili
Wametii bila shurti
Mnangoja nini
Chap kwa haraka picha hizo
Leo ni Babaz Dei
AlisemaKhaa
Mwanaume niliyemuongelea hapo ni Yesu Mwamba imara.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kumbe una mwaliko mwingine tayari? Na Mimi nakupa tena lakiniNdiwoo
Alonipa mualiko
Anza wewe tuonePicha kutuma
Kwa hiari yao
Wa huyuKumbe una mwaliko mwingine tayari? Na Mimi nakupa tena lakini
Aah kumbeWa huyu
Ninaechat nae hapa
Sura tu inaonesha ni ka-pampula😂😂😂umefurahi eehView attachment 2265966
Aisee kuishi mpakani na barabara ni nusu utajiri nusu umasikini. Hii habari ya kupanua barabara ya bima-segerea niliisikia miaka 5-6 huko. Leo inakuwa reality.TAARIFA KWA WAKAZI MTAA WA SEGEREA. AMBAO NYUMBA ZAO ZINATIZAMA BARABARA YA LAMI.KUANZIA SANENE MPAKA SEGEREA MWISHO KUSHOTO NA KULIA. MNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO SIKU YA JUMATATU TAREHE 20)06/2022. KITAKACHOFANYIKA OFISI YA SEGEREA YA MTAA WA SEGEREA. MUDA NI SAA SITA.
AGENDA ZA KIKAO NI
1. UJENZI WA BARABARA YA MWENDO KASI
2. HIVYO KUNA UBOMOAJI WA NYUMBA AMBAZO ZITAGUSWA NA MRADI
3. KWAHIYO WATAKUJA WATU WA TANROAD NA WATU WA KUFANYA TASIMINI. HIVYO MWENYE NYUMBA UNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO BILA KUKOSA
Sikubarikiwa kupenda mbususuSura tu inaonesha ni ka-pampula![]()
Umeshaanza bangi zako. Kwa heriSikubarikiwa kupenda mbususu
Yaani ile ile ni kidogo tu
Mie ulabu na ulabu na mie
Hapo tutakesha
Inuka tumsifu BWANA WA MAJESHI.Ukadhani ubuyu
Huyu Tumsifu nyingi
Amekuzidi asee
Poleeeeeeh binamu.Binaa salama?
Na naomba kigodoro kimoja niokaoshee mjini...
![]()





Aunt I miss uPoleeeeeeh binamu.
Miss u.
Tukome kudanga, tutafute maisha kwa nguvu zetu. Dunia haina huruma







mama malezi nimecheka mnooo, bora mie nafanyiwa assignment. Woiiiiiiiiih.Mie nilijua picha yako khaaah.To all men here. Tusimame katika zamu zetu kama mababa na makuhani wa familia zetu. We may not get the appreciation we deserve. We may not even be appreciated at all. Lakini tusimame tu katika zamu zetu. Ni kazi na wajibu wetu kuacha kizazi imara na kilicholelewa katika misingi sahihi kimaadili na kiuungu kwa sababu sisi ndiyo makuhani.
Tuache nyuma watoto wasio na trauma kwa ajili yetu.
Tujitahidi kuwasogeza mbele kidogo kiuchumi wanetu ili wasije kuanzia pale tulipoanzia sisi.
Happy Father's Day to all comrades and bros here
#BlessedDad
#BestFather'sDay
View attachment 2265849View attachment 2265851View attachment 2265852View attachment 2265853View attachment 2265856
Hayaaaa mama anashusha upako, makubwaaa lol.Yeesuuu mwamba wangu mahali pa kujifiichaaaaaa
Anajua shida zangu yeye atazitatuaaaaaaa
Biiiilla yesu mimi ni mtu bureeeeee![]()






Aisee kama unafanyiwa assignment, nyota yako ni kali sana 😂😂😂mama malezi nimecheka mnooo, bora mie nafanyiwa assignment. Woiiiiiiiiih.