Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,224
Yeesuuu mwamba wangu mahali pa kujifiichaaaaaa 🎶🎼
Anajua shida zangu yeye atazitatuaaaaaaa🎵🎶
Biiiilla yesu mimi ni mtu bureeeeee🎼🎶🎵😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌
Yeesuuu mwamba wangu mahali pa kujifiichaaaaaa 🎶🎼
Kweli Babu amekufundisha kimalkia kile chenyewe Cha Mkoloni
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app


samahani nitaongea bila grammarSawasawa mkuuTAARIFA KWA WAKAZI MTAA WA SEGEREA. AMBAO NYUMBA ZAO ZINATIZAMA BARABARA YA LAMI.KUANZIA SANENE MPAKA SEGEREA MWISHO KUSHOTO NA KULIA. MNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO SIKU YA JUMATATU TAREHE 20)06/2022. KITAKACHOFANYIKA OFISI YA SEGEREA YA MTAA WA SEGEREA. MUDA NI SAA SITA.
AGENDA ZA KIKAO NI
1. UJENZI WA BARABARA YA MWENDO KASI
2. HIVYO KUNA UBOMOAJI WA NYUMBA AMBAZO ZITAGUSWA NA MRADI
3. KWAHIYO WATAKUJA WATU WA TANROAD NA WATU WA KUFANYA TASIMINI. HIVYO MWENYE NYUMBA UNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO BILA KUKOSA
🙏🙏Brod darling bana, siwezi kuwaharibia siku yenu. Unajua nashindwa how to articulate it hadi muelewe kile nilichotaka mkielewe. My point is; achana na hizo roho mbaya zetu wamama; ila nguvu ya kulea iliwekwa kwetu zaidi kuliko kwa mwanaume. Nyie wenzetu mliwekewa zaidi nguvu ya provision, protection etc. Ndiyo maana hata maandiko yanasema "Mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye". Na zaidi wahenga wakakandamizia kuwa "asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu". Hiyo haimaanishi kwamba eti wababa hamjui kulea: hapana. Ila wababa wengi wapo/walikuwa wanalea zaidi financially kwa watoto wao; na malezi si fedha peke yake. But tunashukuru Mungu siku hizi; you guys are going extra miles kwenye malezi, that's why we are here to celebrate you today. I was blessed with such kind of a man; na nilikuwa naona kabisa tofauti yangu na baadhi ya watoto wengine. Siku hizi wababa mnakuwa present and available to your kids; siku hizi ni kawaida kukutana tu na baba na watoto wake wanaenjoy weekend, mama amebaki home. Kwenye kulea vichanga tunasaidiana sana; siku hizi hadi kuchange diapers mmeshafuzu. Watoto wapo free sana ku-open up kwenu bila woga; kwa sababu mmejenga sana urafiki nao. Majority ya wababa wa zamani nafikiri mnaijua. Mambo ya watoto kukimbilia vyumbani wakikua baba anarudi, yanazidi kupungua. So yeah, we are celebrating you today and everyday.
Kusema kwamba si kila mwanaume ana ubaba ndani yake; nilikuwa tu nataka tu wababa muone nyinyi ni wa thamani kiasi gani kwa watoto wenu especially when you give your all to your kids. Ni ngumu Sana kucover pengo la "baba bora/responsible" kwenye maish watoto wake.
Yai moja kule Mbeya ni laki mbili😃samahani nitaongea bila grammar
Ndani ya KRISTO ninawekaaYeesuuu mwamba wangu mahali pa kujifiichaaaaaa 🎶🎼
Anajua shida zangu yeye atazitatuaaaaaaa🎵🎶
Biiiilla yesu mimi ni mtu bureeeeee🎼🎶🎵😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌
Hahah kikowapUna
Kipilipili eenh
Lips zakoHahah kikowap
Manzi mojaOfu kozi maana ninakaugonjwa ka kupenda romance![]()
Manzi moja
Ilikuwa inapenda sana hiyo mambo
Halafu najikuta Eden yaani
Mmefanana kiasi
aya bhnaSimara we ni mzuri.kwa fundi jumaa
Disii tiemkkwa fundi jumaa

Kama ni kwa viwango hivi Mbeya mikono juu.Made in Mbeya
Hakuna pini mbovu
Kule
Lipskwa fundi jumaa

Ana kipilipili kizuriiUna
Kipilipili eenh