Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Natamani mmoja hapa anichafue kama alivyochafuliwa huyu jamaa🤗🤗🤗
AAcciv.jpeg
 
Brod darling bana, siwezi kuwaharibia siku yenu. Unajua nashindwa how to articulate it hadi muelewe kile nilichotaka mkielewe. My point is; achana na hizo roho mbaya zetu wamama; ila nguvu ya kulea iliwekwa kwetu zaidi kuliko kwa mwanaume. Nyie wenzetu mliwekewa zaidi nguvu ya provision, protection etc. Ndiyo maana hata maandiko yanasema "Mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye". Na zaidi wahenga wakakandamizia kuwa "asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu". Hiyo haimaanishi kwamba eti wababa hamjui kulea: hapana. Ila wababa wengi wapo/walikuwa wanalea zaidi financially kwa watoto wao; na malezi si fedha peke yake. But tunashukuru Mungu siku hizi; you guys are going extra miles kwenye malezi, that's why we are here to celebrate you today. I was blessed with such kind of a man; na nilikuwa naona kabisa tofauti yangu na baadhi ya watoto wengine. Siku hizi wababa mnakuwa present and available to your kids; siku hizi ni kawaida kukutana tu na baba na watoto wake wanaenjoy weekend, mama amebaki home. Kwenye kulea vichanga tunasaidiana sana; siku hizi hadi kuchange diapers mmeshafuzu. Watoto wapo free sana ku-open up kwenu bila woga; kwa sababu mmejenga sana urafiki nao. Majority ya wababa wa zamani nafikiri mnaijua. Mambo ya watoto kukimbilia vyumbani wakikua baba anarudi, yanazidi kupungua. So yeah, we are celebrating you today and everyday.

Kusema kwamba si kila mwanaume ana ubaba ndani yake; nilikuwa tu nataka tu wababa muone nyinyi ni wa thamani kiasi gani kwa watoto wenu especially when you give your all to your kids. Ni ngumu Sana kucover pengo la "baba bora/responsible" kwenye maish watoto wake.

 
Back
Top Bottom