Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Baba amemaliza kutulisha cha Rohoni
Tuje mwilini
Tuje mwilini
Salama shangazi sijui wewe kwema huko?Alicia keys salama?
Salama shangazi sijui wewe kwema huko?
Ulimisika sanaa aunt
🙏Pole sana dear...
Nimefurahi kukuona hapa tena dear 🙏Nashukuru Mungu kwema
Nimekumiss pia dear..
Nimefurahi kukuona hapa tena dear![]()
Tukome kudanga, tutafute maisha kwa nguvu zetu. Dunia haina hurumamama malezi kuwa na hurumaaa. Sponsors wabayaa sana, wanachukua nyota zako na kukuacha juu, ukihaha na life.
Ila watu wabayaaaa, kingne kismati mwayaa kuhongwa cash mkononi sio rahisi hvyooo. Uwiiiiih
Nimeambiwa eti uligeuka nyuma, ni hatari. Kwani mmekuwaje wenzangu?Sunday session.
Glory to God.
My favourite gauni.
Nimevaa baada ya mwaka 1 kupita.
June 19..
St Anne.View attachment 2265676View attachment 2265677
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na genge limechangamkaNachangamsha genge😆
Siku za mateso makali na kilio.
A year ago.
June 20View attachment 2265708
Now I'm here,Looking back where I come from,
.....
I don't know how but you did it
You made a way,
When my back is against the walls
And it looked as if it was over
Lord yuh made a way,And we're standing here only because you made a way.
You move mountains
You cause walls to fall
There is nothing thai is impossible
And we standing here Only because you made a way.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app



To all men here. Tusimame katika zamu zetu kama mababa na makuhani wa familia zetu. We may not get the appreciation we deserve. We may not even be appreciated at all. Lakini tusimame tu katika zamu zetu. Ni kazi na wajibu wetu kuacha kizazi imara na kilicholelewa katika misingi sahihi kimaadili na kiuungu kwa sababu sisi ndiyo makuhani.
Tuache nyuma watoto wasio na trauma kwa ajili yetu.
Tujitahidi kuwasogeza mbele kidogo kiuchumi wanetu ili wasije kuanzia pale tulipoanzia sisi.
Happy Father's Day to all comrades and bros here
#BlessedDad
#BestFather'sDay
View attachment 2265849View attachment 2265851View attachment 2265852View attachment 2265853View attachment 2265856
Touching massage from a fatherTo all men here. Tusimame katika zamu zetu kama mababa na makuhani wa familia zetu. We may not get the appreciation we deserve. We may not even be appreciated at all. Lakini tusimame tu katika zamu zetu. Ni kazi na wajibu wetu kuacha kizazi imara na kilicholelewa katika misingi sahihi kimaadili na kiuungu kwa sababu sisi ndiyo makuhani.
Tuache nyuma watoto wasio na trauma kwa ajili yetu.
Tujitahidi kuwasogeza mbele kidogo kiuchumi wanetu ili wasije kuanzia pale tulipoanzia sisi.
Happy Father's Day to all comrades and bros here
#BlessedDad
#BestFather'sDay
View attachment 2265849View attachment 2265851View attachment 2265852View attachment 2265853View attachment 2265856
.. I personally as a father I will make sure the world is a better place for living to my kidsKweli Babu amekufundisha kimalkia kile chenyewe Cha MkoloniTouching massage from a father.. I personally as a father I will make sure the world is a better place for living to my kids

Yesu kimbilio hajawahi kuniacha.And now we're here
Looking back on where we come from
Because of You and nothing we've done
To deserve the love and mercy You've shown
But Your grace was strong enough to pick us up.
....And we're standing here
Only because You made a way....
Mno..Na genge limechangamka

Nani huyo amekupiga kamba?Nimeambiwa eti uligeuka nyuma, ni hatari. Kwani mmekuwaje wenzangu?
Let this anointed pledge be true my young bro.Touching massage from a father.. I personally as a father I will make sure the world is a better place for living to my kids


