Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Acha tu hadi nikalikimbia jukwaa😂Kisa umenimiss au?![]()
Acha tu hadi nikalikimbia jukwaa😂Kisa umenimiss au?![]()
Navaaga nikiamuaga palee,![]()


Usiwaze naenda kumsaka namleta soon auntie Strawbella wherayuuuu??? come this way pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
wadada wa town kinawasave sanaa
Sunday session.
Glory to God.
My favourite gauni.
Nimevaa baada ya mwaka 1 kupita.
June 19..
St Anne.View attachment 2265676View attachment 2265677View attachment 2265678
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app


Nilivyokumiss tupia hata ukucha basi rafiki yangu?Alicia keys salama?
Zilikuwa siku za mateso makali.
3 weeks baada ya mzee wangu kufariki..niliisha.
Jamani umekuja?
Nilikumiss sana
Karibu sana...nasubiria uselfikeNipo
Anakusalimia sanaNenda had Mzumbe Sec, kaulize Frank John Mahuvi, 4m 6 PCM ni mchumba angu, kamuambie anasalimiwa na bae wake hapa.
![]()

Karibu sana...nasubiria uselfike
Tumekutafuta sana yani...🤣😂😜Madam kila nikiingia naambilia manyoya
Mzima kipenzi?
Tumekutafuta sana yani...
Mie sijambo shangazi usiwe unapotea sana jamani
Kwani napenda kupotea basi
Si unajua ukishinda humu na tozo nazo zinakusubiri mlangoni...






Ni kweli kabisa shangazi!!Shangazi Strawbella ngoja nimalizie kupika badae mida yetu nistue shangazi!
Jaza nafasi iliyoachwa wazi;Naona upo unapata neno, safi sana.