cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
Boga, nimemic home.
Boga, nimemic home.
Aunt upoooo? [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Aunt I miss u
Uko poa
Tupia hta kamkono tu
Komaa hapohapo, usije ukaibiwa nyota na wakubwa😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teeenaaaa sitaki mambo makubwaaa, vijipesa vya boom nikipewa kuweka najilia humo humo, kufanyiwa assignment, bas full burudaaaan.
Weraaaaaah Weraaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyota zangu nazitaka mnoo, sitaki kulia kilio cha mjane aliyeporwa mali na ndugu wa mumewe, akuuuuh.Komaa hapohapo, usije ukaibiwa nyota na wakubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwehu wewe😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyota zangu nazitaka mnoo, sitaki kulia kilio cha mjane aliyeporwa mali na ndugu wa mumewe, akuuuuh.
Nasubir auntAunt upoooo? [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kaa hapa bas, naked napita shwaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh ndiwooo nkamu, nifanyie wepesi basi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli eti. Sasa kuanza kutafuta mtaalamu wa kurudisha nyota, mbna kazi ingne hiyo lol.Mwehu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aunt upoooo? Niwekee.Nasubir aunt
Nipo auntAunt upoooo? Niwekee.
Hebu fanya Mambo bas aunt kwa jins muda huu sinavocha umekuja wakt mzuri sanaSelfika na tigo
*104*597927842839942#
Hiyo umeikosa aunt?Hebu fanya Mambo bas aunt kwa jins muda huu sinavocha umekuja wakt mzuri sana
Nimkuja dakika ya pili wajumbe washapita nayo alafu hawasemi ahsante[emoji16]Hiyo umeikosa aunt?
Kwani kamanda Genetic yupo around? [emoji16][emoji16][emoji16]Nimkuja dakika ya pili wajumbe washapita nayo alafu hawasemi ahsante[emoji16]
Poleeeeeeh binamu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss u.
Pole auntNimkuja dakika ya pili wajumbe washapita nayo alafu hawasemi ahsante[emoji16]
Nasubir wajumbe naomba mfumbe macho kidogoPole aunt
Usitoke nitapandisha nyingine hapa