Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inapendeza kaka
Selfie[emoji848]..tatizo haka ka camera ka simu kangu naogopa nitatisha watu
Hizi vurugu Muachie Yna pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Hebu bariki watu mshepu wa maana Rumaiya unakwama wapi sikuhizi lakini!!!??[emoji6][emoji6][emoji6]
 
[emoji3]
C360_20220619-102810-62.jpg
 
Hivi seriously kuna wanawake hamjui kupika chapati? Nawaza huwa hamtaki kujifunza au mnakosa sababu ya kuwafanya mlazimike kujifunza? Nyumbani kwenu ilikuwaje?

Maana mimi ni ME lakini chapati nazipika za kuchambuka balaa nikiamua (sijapika kitambo sana) , kwahiyo huwa naamini kama mimi najua basi kila mwanamke anajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbani kwetu toka wadogo tumekua tukila zaidi chapati za maji, za kusukuma kuna waliojifunza wenyewe badae kabisa ukubwani. Ni maamuzi tu kutojua kupika chapati sidhani kama ni kesi.
 
Wanatunyanyasa sana tunaotumia App kwanza notifucations zimekata mateso tu.
Hamia kwenye web mdogo wangu hutajuta
Umeamka salama lkn?
Ulimtesa sana yule dokta aiseee bado nafikia ile story hapa navaa viatu vyake naona havinienei kabisa😉
 
Hamia kwenye web mdogo wangu hutajuta
Umeamka salama lkn?
Ulimtesa sana yule dokta aiseee bado nafikia ile story hapa navaa viatu vyake naona havinienei kabisa[emoji6]
Nimeamka salama nashukuru Mungu, sijui wewe

Yule dr alikua na yake tu.
 
Back
Top Bottom