Na ile ya mzee na binti 😅😅🙌BMW ya mtoto wa mama, Rav 4 ya dada
Ulienda swampia Wapi lakini nilikuita sana.. ukija nistue!!Nimepitwaaaaah mie,![]()
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣 Kabisaaaa.. nikinuna nakua kama bibii weeeehhhHivi unafikiri ntakwambia acha kununa?
Utanuna hadi ujichekeshe mwenyewe🤣🤣🤣
Ukinuna nitacheka na toto zuri Antonnia halijui kununa🤣🤣🤣
🤣🤣😂😂😂😂😂😂 ni mwehu huyooo 🙌🙌🙌Embu rudia kauli yako hapo kwa antonnia🙄..au sijaelewa vizuri mimi😂🤔
Unamjaza Mwenzio ujue 🤣🤣🤣😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣Picha la kibabe..picha la kuombea mkopo bank..imeisha hiyoooo🤣🤣
Unaumiaje shos ako nipo ukija nichecckkkkk😘😘maumivu jaman maumivu.
Inaruhusiwa madam habari za uzima!!Kuselfika tukiwa on bed inaruhusiwa eh?


Wapi


Bonge
Likikasirika
Linajiangusha chini Pwaaa![]()







umenikumbusha Shimba ya Buyenze jamani kimya sana wee msukuma njoo utusabahi kidogo selfika banaKaribu sana selfikaAisee vurugu zangu zote hili eneo sijawahi kufika kabisa........Naomba nikutane na wenyeji wa hili eneo wanipe ABC's
Nimekaribia mkuu,sikuwahi kujua kama kuna hiki kiwanja hukuKaribu sana selfika
Kipo aiseeNimekaribia mkuu,sikuwahi kujua kama kuna hiki kiwanja huku
Huku ni stree free zone karibu sana. ..Nimekaribia mkuu,sikuwahi kujua kama kuna hiki kiwanja huku
Labda cake tu ndo sijui,tena sijaamua tu kujua?