Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
[emoji7]Ameeeeen!!!!!
[emoji7]Ameeeeen!!!!!
Yani kwa ile story nimetamani nikasome udaktari wallahNimeamka salama nashukuru Mungu, sijui wewe
Yule dr alikua na yake tu.
Tunaitumia kiubishi tuWanatunyanyasa sana tunaotumia App kwanza notifucations zimekata mateso tu.
Me natumia app maboresho nmeyapata yoteTunaitumia kiubishi tu
Ww mwanamke una enjoi
🤣🤣🤣🤣🤣Hizi vurugu Muachie Yna pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Hebu bariki watu mshepu wa maana Rumaiya unakwama wapi sikuhizi lakini!!!??[emoji6][emoji6][emoji6]
Ooh niceMe natumia app maboresho nmeyapata yote
Yap nyeupe yenyeweOoh nice
Kuna update ?
Ah sawa nitaichekiYap nyeupe yenyewe
[emoji23][emoji23] ukasomee udaktar ili mzidi kutufaidi wagonjwa muone kwanza.Yani kwa ile story nimetamani nikasome udaktari wallah
Ila na wewe kwa nini ulimfanyia vile mwenzio? Dah......
Mmh! Mbona kwangu kweupee hamna utofauti wowoteMe natumia app maboresho nmeyapata yote
Ungemzaba kofi la usoni paaah, hadi macho yafunge ndo akili yake ingemrudi haswaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukasomee udaktar ili mzidi kutufaidi wagonjwa muone kwanza.
Mimi sikukosea lolote yeye ndio alinikosea sababu kama ni kipimo kipo maalum kwa kazi ile na sio kwa namna alivyofanya yeye, nilikasirika basi tu sikua na namna.
Hehe..ndiyoWee usinambiee,. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujambo jiranicocastic shos ulisema weekend utatupia kama zoteee!! Come this way pullliiiizzzzz!!
[emoji23][emoji23] kwanza muda ule nilikua naogopa nikajisemea moyoni leo nabakwa umbwa yuleUngemzaba kofi la usoni paaah, hadi macho yafunge ndo akili yake ingemrudi haswaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]