Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Nafurahi kusikia hivo ✌️!Nipo poa namshukuru Mungu
Web ipo vizuri sana .
Nafurahi kusikia hivo ✌️!Nipo poa namshukuru Mungu
Web ipo vizuri sana .
Safi sana 👏
Ni mazuri pia ila yame niumbua 😀yeah ni mengi!
Pamoja sanaSante sana mkuu!! Iko vyedi sana ✌️✌️
Naonekana na type masaa halafu hamna kitu huku si kuumbuka 😀😀😄! Hapana bana
![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Hamna si ujumbe mrefu jamani 😂😂🤣Naonekana na type masaa alafu hamna kitu huku si kuumbuka 😀😀😄
😄😄😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Hamna si ujumbe mrefu jamani 😂😂🤣
Aiyaaaa..na Umeamua kunikomesha kuweka kabisa Avatar..🙆🙆🙆🙆🙆Unamjaza Mwenzio ujue 🤣🤣🤣😜🤣
Hatujambo mkuu karibu kijiweniNawasalimia kwa jina la selfika ndugu zangu hamjambo?
DuhAiyaaaa..na Umeamua kunikomesha kuweka kabisa Avatar..![]()
Rumaiya mbavu zangu mie 🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂!!Aiyaaaa..na Umeamua kunikomesha kuweka kabisa Avatar..🙆🙆🙆🙆🙆
Shikamoo kakaNawasalimia kwa jina la selfika ndugu zangu hamjambo?
Selfii ziendelee mr Vocha binafsi niko bien!!Nawasalimia kwa jina la selfika ndugu zangu hamjambo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣...bakisha na Cha baadaye Basi..😂😂😂😂Rumaiya mbavu zangu mie 🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂!!
Usiwaze nabakiza dear!🤣🤣🤣🤣🤣🤣...bakisha na Cha baadaye Basi..😂😂😂😂