Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,274
Juzi niliweka hapa ukapigwa KO, leo tena nitaweka.vocha nakudai wee
Woiiiii🤗🤗Nitakufungashia uondoke nayo kipenzi usijareee!!
Hakika..kabisa wacha tukatubu tupunguze dhambi kwanza!!! Uwe na wakati mwema kipenzi!!![]()
Nashukuru Madam boss lady mzungu wa roho🙏🙏Selfii ziendelee mr Vocha binafsi niko bien!!
Weee kapuku tu mie unanikejeli kireja reja kabisa Rumaiya??Woiiiii
Mzuri
Una akili
Umeumbwa ukaumbika
Una mihela
Kikubwa kuliko vyote una moyo mzuri...
Ubarikiwe tu my dear..![]()







Hivi seriously kuna wanawake hamjui kupika chapati? Nawaza huwa hamtaki kujifunza au mnakosa sababu ya kuwafanya mlazimike kujifunza? Nyumbani kwenu ilikuwaje?Ila niwe mkweli chapati za kusukuma sijui kabisa na hata sitaman kujifunza. Labda cake.
Hapa Dodoma hali ni shwari kabisa tunaimalizia weekend taratiiibuSalama kaka
Za huko uliko?
🤣🤣🤣🤣🤣 Kapuku kwiooo...!!!Weee kapuku tu mie unanikejeli kireja reja kabisa Rumaiya??![]()
Inapendeza kakaHapa Dodoma hali ni shwari kabisa tunaimalizia weekend taratiiibu
Ebu niombe ujiselfishe mdogo wangu
Tafadhali ibariki weekend yetu iende vzr usijali kuhusu hiyo camera wewe tuwekee hivyo hivyo tafadhali mdogo wangu japo muda mfupi tuu na hayo ndiyo maudhui ya huu uziInapendeza kaka
Selfie🤔..tatizo haka ka camera ka simu kangu naogopa nitatisha watu
Hiyo sijaisikia, labda kitochi smati hakiwezi fanya hivyo.Nimeshangaa pia mkuu halafu post ikiingia inalia kama whatsapp
Inategemeana na malezi tu mkuu, aiseeh mimi nilipika kuanzia la 6 hadi form four, yaani Advance ndo iliniokoa maana baada ya kutoka huko nikawa na kibesi jiko nikalitema nikaenda chuo mpaka leo.Mwanaume utakiw kupika sana najifunza humu nakuwa namfundisha x wangu
Kwanza mwanaume kuwa na mwiko masufiria ni kosa la kiuanaume
Weee naishi kwa uwezo wa bossi wangu tu mie sina lolote shostee!!Kapuku kwiooo...!!!
Wala sikukejeli ..ukweli ndiyo huo


!!