Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,500
- 6,459
Kabisa itabidi niweke kambi eneo hiliKipo aisee
Ni cha muda .. hujagi huku chit chat eeh ?
Kabisa itabidi niweke kambi eneo hiliKipo aisee
Ni cha muda .. hujagi huku chit chat eeh ?
Karibu tenaKabisa itabidi niweke kambi eneo hili
Tupia picha yako mkuu hio ndio mada yenyewe sasa!! Hebu tupia kwanza afu tukupe maelekezo yanayofuataKabisa itabidi niweke kambi eneo hili
Watuletee na kwa App
Kabisa... umeona na maduara kwa avatar lakini!!Watuletee na kwa App
Naona yamekuwa makubwaKabisa... umeona na maduara kwa avatar lakini!!
Sante sana mkuu!! Iko vyedi sana ✌️✌️
Na hizo rangi pembeni ya maduara!!Naona yamekuwa makubwa
Naona wanaboresha vizuriNa hizo tangu pembeni ya maduara!!
Haya maduara tena nkiki!😃😃
Yeah mie Sijambo mamy hofu ni kwako ulie mbali na macho yangu! Naona Saivi na ka mlio ka notifications kanakuja!Naona wanaboresha vizuri
Vipi umeamkaje lakini
ZiliishaWapi
Cigarettes
Na kiberiti??
![]()

Ahaa kumbe!! Nilitaka kushangaa na kusema injili ya Anne imeanza kukuingia ado ado hata bia utaacha kunywa kabisa!!😜😉Ziliisha
Ndio nilikuwa nimeagizia
Mzima wewe mrembo![]()
Ahaa kumbe!! Nilitaka kushangaa na kusema injili ya Anne imeanza kukuingia ado ado hata bia utaacha kunywa kabisa!!
Nice niko poa sana rafiki!


Kimasihara tena??🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣
Tumsifu nyingi
Hataki nchi ipate kodi
Halafu nasubiri kimasihara yao
Nilikuwa na type alafu sasa sijui na type nini 😀😀😀
Nipo poa namshukuru MunguYeah mie Sijambo mamy hofu ni kwako ulie mbali na macho yangu! Naona Saivi na ka mlio ka notifications kanakuja!
yeah ni mengi!Nilikuwa na type alafu sasa sijui na type nini 😀😀😀
Jf mabadiliko yamekuwa mengi