Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,249
- 183,135
HahaaNaomba nikurudishie pesa uliyonunulia hii gauni
shukrani sana mkuu!🙏
HahaaNaomba nikurudishie pesa uliyonunulia hii gauni
Chapati na githeri safiiAsubui mujarab
View attachment 2265468
Rumaiya mbavu zangu ujue!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hainaga ujazo Mama kizuri acha kisifiwe..unaonekana Mama hata kipofu tu kwa upapaso atatoa sifa..we Ni mnomaaaa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Huo mguu unaweza kwenda bank bila collateral yeyote na ukapewa mkopo ndani ya muda mchache sanaHahaa
shukrani sana mkuu!🙏
Daah chapati na kande kanisani patakuwa salama kweli?😂😂😂Asubui mujarab
View attachment 2265468
🤣🤣🤣🤣Daah chapati na kande kanisani patakuwa salama kweli?😂😂😂
Mgeni mwenyeji Ushaambukizwa upambe🙆🙆🙆🙆🤔🤔🤔🤣🤣🤣!!!✌️✌️✌️✌️✌️✌️Huo mguu unaweza kwenda bank bila collateral yeyote na ukapewa mkopo ndani ya muda mchache sana
Furahi tu mamaa...umenibariki mornie yangu..🤣🤣🤣🤣Rumaiya mbavu ujue!!!
Wige atauliza
Huo
Upapaso
Vipi??
🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣
Ndiyo KakaKwa hiyo mtu akitype sasa tunaona?
Nimeshangaa pia mkuu halafu post ikiingia inalia kama whatsappKwa hiyo mtu akitype sasa tunaona?
Santo sana kipenzi nafurahi kukuona umefurahi 💃💃♥️!!Furahi tu mamaa...umenibariki mornie yangu..🤣🤣🤣🤣
Binafsi sijambo mkuu mjep hope na wewe pia umzimaNawasalimia kwa jina la selfika ndugu zangu hamjambo?
Santee wewe...kunifanya nifurahi asubuhi you hii..😍😍😍😍❤️Santo sana kipenzi nafurahi kukuona umefurahi 💃💃♥️!!
Kabisa!!! stimulus repeatedly paired together no way! Tuendelee kuselfika mkuu!Kuna mambo yanakuja automatic tu,yanafuata upepo ulipo
Hii mixa Nouma sana!!![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji12]Asubui mujarab
View attachment 2265468
Nibariki na mimi basi mrembo wanguMgeni mwenyeji Ushaambukizwa upambe🙆🙆🙆🙆🤔🤔🤔🤣🤣🤣!!!✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Hii mixer inaweza kusabsbisha ibada ifungwe mapema😂😂Hii mixa Nouma sana!!![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji12]
Hujaiona??🙄🙄🙄🙄😜Nibariki na mimi basi mrembo wangu
Ahsante sana chiefHatujambo mkuu karibu kijiweni