Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Unapenda ndiyoo lkn na yeye pia akupende. Sasa waweza ng'ang'ania sehemu ambayo hupendwi mama?Pamoja katika kundi acha tupende tu
Unapenda ndiyoo lkn na yeye pia akupende. Sasa waweza ng'ang'ania sehemu ambayo hupendwi mama?Pamoja katika kundi acha tupende tu
😂😂😂😂😂Kwangu utanuna na utasahau utacheka tena🤣🤣
Ndio kicheko gani hicho totoo🤣🤣🤣
Hapana brod darlingNimepatia?
Cocaaaa..tobaaaaa roho yangu
....Sasa mbona Dada ako patupu !!??
![]()








kheeeeeh puliiiizzz rudi Namanditi harakaaa ukafundweee,
Hivi tangu lini msichana mwenye nundu yake akanuna? Utachekesha ujue🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Nimecheka ujue..ila saa hii sicheki nanuna haswaaa
HahahahaWapopo wana laana hawa mbwaaaa, njaaa kibao, mfyuuuuuu zao.
![]()
Unataka kusema kwamba???Hivi tangu lini msichana mwenye nundu yake skanuna? Utachekesha ujue![]()




Yes, na ndivyo nilivyo Mimi. Akinionyesha upendo, if na Mimi nimemzimia,,, basi namuonyesha upendo mara dufu zaidi. Tena atafurahia. No cheatingMimi akinipenda mtu namlipa upendo huo huo, pengine na zaidi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Utawezaje kununa mtu ka wewe😂Unataka kusema kwamba???![]()
Nijibu kwan km ndo ulivyo au wee unauweka kusudi.Kumaansha?





Akikupenda na ww umpendee. Sio ukae na mtu ambaye humpendiiKweli ni kufanya yote, sasa ntakaa na mtu eti heshima na sihisi lolote moyoni nakaaje nae sasa? Sema kiwango cha mapenzi ya mwanamke kisizidi kiwango cha mapenzi ya mwanaume wake kwake.
Yani najiandaa hapa kufeli kwangu mwikooo!!Weee tenaaaa bureeeeeee, bila ada, kungwi na nyakanga mie mwenyeweeeh.



Wapo aiseeIla huu utapeli wa kizamani yaan kama bado kuna watu wanatapeliwa kwa namna hii niwape pole sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kheeeeeh puliiiizzz rudi Namanditi harakaaa ukafundweee,
We si unanfaham au leo upo tofautNijibu kwan km ndo ulivyo au wee unauweka kusudi.
Afu ndo ntatoa neno la kumaanisha.![]()
Tumeambiwa kupenda ni kihere here chetu eti tuwatiiAkikupenda na ww umpendee. Sio ukae na mtu ambaye humpendii

au mimi ndio sielewi