Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Ariririririririiiiiiiii👌👌🤣🤣🤣😅😅 utu na utulivu, tulia
Ariririririririiiiiiiii👌👌🤣🤣🤣😅😅 utu na utulivu, tulia
Utakuwa umekosea uzi ,mbona humu tupo simple sana ?Nmeupenda huu ujasiri maana jf selfika manzi wengi huwa anajifanyaga matawi ya twiga
Walimu masikini wenye njaa kali kama sie ndio tumejazana sio sensa tu kwenye shughuli kibao za serikali!!![]()



Hapa wote sie matawi.. unyonge huku duniani tu 😁😁Utakuwa umekosea uzi ,mbona humu tupo simple sana ?
MsisahauNimekamatika na Nini?
Nipo curious kumuona jamaa...ila pombe siwezi kunywa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Walimu kweli mmejaaliwaKidogo tu mr vocha!!😉😉😜😜😘
Mr. Jau 😄😄Msisahau
Kuleta kimasihara
Kule
Hahaha noma sanaHapa wote sie matawi.. unyonge huku duniani tu![]()
Ooh niliogofya sana maana tupicha twa viwanja vikali tunaogofya mayo😂 unajikuta boraga ufage na gudonge gwako rohoni!Utakuwa umekosea uzi ,mbona humu tupo simple sana ?
Unyonge kwenye keyboard marufuku 😂😂Wacha tu tujifanye bana, mtaani tuonekane tumepigika, jamani hadi mtandaoni tena jf ambapo hata jina tu hatujuani??
Aah sie wote matawi huku bana hamna aliyechoka🤣🤣
Ndiooo😁😁Hapa wote sie matawi.. unyonge huku duniani tu 😁😁
Unyonge dhambi😂😂Unyonge kwenye keyboard marufuku 😂😂
Mimi ni mwal mkuu msaidizi… naishi magomeni 😆😆😆
Ila jana Faiza kanichekesha
Duh sijakuelewaOoh niliogofya sana maana tupicha twa viwanja vikali tunaogofya mayounajikuta boraga ufage na gudonge gwako rohoni!
Wapi mr Vocha shida tu walai!!Walimu kweli mmejaaliwa
Naombeni na mie tupicha nisafishege tumacho twangu maana kitambo sijatembeleamo humu. Ka weekend speshoKamera tu mamdo niko kabayaaaaa hata kutongozwa sitongozwi dadoda kweri kweri!!
Oooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano

Wadada wote wako na vyuraaaNdiooo😁😁
Wadada wote ni pisi kali
Wakaka wote mahendisamuuu
Pole QueenOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano![]()