Zigo zigo madam💕💕💕
Ahsante sanaaa
Zigo zigo madam💕💕💕
Kudadeki huu mzigo sio mchezo mamiii
Madam mrembo😍
Za jumla bado zinatoka za sayansi wawili watatu tu afu kimya kimya !!Walimu mna raha sana hivi ajira mpya mmeshapata
Ukipata sensa uje unihesabu nitakufata popote tu
Kidogo tu mr vocha!!😉😉😜😜😘Zigo zigo madam💕💕💕
Ahsante sanaaa
Dahhh napendaga walimu wapya wanavyozurura hawana maelekezo yeyote unajivutia mmoja unaishi nayeZa jumla bado zinatoka za sayansi wawili watatu tu afu kimya kimya !!
Na mimi ndio mnyaki huyohuyo ninayemjuaAhsante sana
Mimi ni nkamu wa wanyaki wote![]()

asante Alicia keys wetu 😘😘😜Madam mrembo😍





Hhhaahhahahaa!Ukipata sensa uje unihesabu nitakufata popote tu
Hhahahaa!! jinga sana ujue 🤣😂😂😂😂😂Dahhh napendaga walimu wapya wanavyozurura hawana maelekezo yeyote unajivutia mmoja unaishi naye
Kamera tu mamdo niko kabayaaaaa hata kutongozwa sitongozwi dadoda kweri kweri!!Kwa mzigo huu sidhan kama Kuna semina yeyote inakupita![]()
😍😍😍🥰Ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndairi!
Ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndairi!
Naitoshe kusemaaa..
Mimi na ku pendaa sanaa..
Na nashindwa kuhemaaa..
Utamu ya ma nyama nyama ..nyamaaa..
Oya baby come come
Nataka nikuonyeshe mashamsham
My honey he’s so sweaty
Yani tamu tamu
If he sing a song mi najam jam mmh
Eh! 🎤 🎤 Lenie 🕺 🕺 💃
Walimu masikini wenye njaa kali kama sie ndio tumejazana sio sensa tu kwenye shughuli kibao za serikali!!😉😉😉🤔🤔🤔
😅😅 utu na utulivu, tulia😍😍😍🥰
Muba mube mubi🎵🎵
Mr vocha unaendeleajeNafurahi kama umeamka poa madam
Leo hautu bless na kaselfie ka weekend?

🙏🙏🙏Nmeupenda huu ujasiri maana jf selfika manzi wengi huwa anajifanyaga matawi ya twiga