Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
I envy u, mimi nmefika season ya 4 wanaringa mno kutoa vipande vilivyobaki.Naingia ya pili ila ninayo mpaka ya 3
I envy u, mimi nmefika season ya 4 wanaringa mno kutoa vipande vilivyobaki.Naingia ya pili ila ninayo mpaka ya 3
Hii nzuri, nitaitafuta.Ooh comedy huwa ni nzuri sana
Carol's hiyo ina mandhari ya hospital .. Carol huyu baada kustaafu, alipata divorce basi akaamua aende kusoma udakatari akiwa mzee tayari .. inaonyesha challenge anazopitia katika safari yake ya intern doctor katika umri wa huo ..
Yeah nzuriHii nzuri, nitaitafuta.
Khaaaaaaah,nilimfurahisha siku kaja kupanga kwangu, alilipa bia zangu zotena alizo kunywa kaka yake









Taarifa za kwenye picha hazitoshi kumjua mtu. Ni baadhi ya taarifa za awali zinazoweza wasaidia pa kuanzia, kwa mfano kujua location, model ya camera, mda picha iliyochukuliwa.. zitawasaidia mahala pa kuanzia.. ila sio kwamba watajua ni nani. Ukiwa na hizo taarifa mfano location, model ya camera utajua aina ya simu, time.. kwa wenzetu ulaya maeneo mengi yana CCTV wanaweza pitia pitia humo kupata point point ... sema nipo maji ningeendelea kuandikaKabla hujatuma picha humu uliyopiga kwa cm yako hakikisha hakuna metadata inayoambatana na hiyo picha. Otherwise your privacy is at risk. Jina feki la jf halitakusaidia
tupiaMmeraraaa
Aah Mimi nawasalimia tu😂😂😂tupia
Humble Big Boy from Misungwi nirushe kitu laivu Ma Mchungaji?Aah Mimi nawasalimia tu![]()



Habari yako mkuuHumble Big Boy from Misungwi nirushe kitu laivu Ma Mchungaji?
Bado upo?![]()
Nipo Misungwi boy, haki nitaota Leo 😂😂Humble Big Boy from Misungwi nirushe kitu laivu Ma Mchungaji?
Bado upo?![]()
Njema bosi. Za miaka?Habari yako mkuu
Utaota nini sasa?Nipo Misungwi boy, haki nitaota Leo![]()


2nd edition vepeeWatu wanakula good time ya weekend!!!!
Sisi tusio na chochote tunashangaa hapa selfika, maisha haya jaman uwiiiiiiiiih.![]()
Tuendelee kidogo.. ni kwa namna gani wanatumia picha kukupata ? wanachukua picha ishirini tofauti ( mfano ) , wanachukua taarifa kwenye hizo picha wanaweza wakata picha ya maeneo yako pendwa ( location ) kwa kuangalia avarage so watajua huyu anapenda sana maeneo flani, hiyo itawasaidia pa kuanzia eneo gani waanze kukulia timing, namba mbili wakajua model ya camera watajua simu, katika kuangali location watazingatia aina ya simu ya wanae mlia mingo, kila taarifa iliyo kwenye picture wanaunganisha kupata kitu.. hii nimeweka kwa ufupi.. nahisi unaweza pata point .Kabla hujatuma picha humu uliyopiga kwa cm yako hakikisha hakuna metadata inayoambatana na hiyo picha. Otherwise your privacy is at risk. Jina feki la jf halitakusaidia
Kiduchu tena hapa, hapa aina camera model watajua aina ya simu. Kwa vipi kwa sehemu kujua aina ya simu inaweza saidia, siku hizi haya masimu ya kisasa yana app ambazo zinawezesha watu wenye aina ya simu mmoja kuonana na kushare some info mkiwa kwenye eneo moja au distance au eneo fulani la duara, inakuaga kama try and error kama ni threat hawato ona issue kuwa na simu na yako then wana turn on kuona inaonana na nani .. kama watabaatika kuona simu za aina hiyo, watajaribu kuangalia profile za wadau ambao watatokea sasa kama kuna moja ya picha uliyoweka kwenye profile uliyo post wataanzia hapo, au pia wanaweza anza collect data kutoka kwenye hizo profile na kufanya comparison, najaribu kueleza kwa juu na kwa urahisi ingawa kuna zaidi ya hapa..Kabla hujatuma picha humu uliyopiga kwa cm yako hakikisha hakuna metadata inayoambatana na hiyo picha. Otherwise your privacy is at risk. Jina feki la jf halitakusaidia
Ndiyo tunaamka sasaMmeraraaa
Hahahahaaaaaaaaaa!! Nicheke mieee!!!Surbi mimi sio mandingo...hahaha tena usinitafutie mabalaa! Nilikuwa natetea timu yetu inayoandamwa kila siku.
Haya tupia basi madam!