Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Afadhali hata umeitolea ufafanuzi mwanzo nilivyoona nikajisemea kama mambo yenyewe ndio haya bora kuacha kuselfikaTaarifa za kwenye picha hazitoshi kumjua mtu. Ni baadhi ya taarifa za awali zinazoweza wasaidia pa kuanzia, kwa mfano kujua location, model ya camera, mda picha iliyochukuliwa.. zitawasaidia mahala pa kuanzia.. ila sio kwamba watajua ni nani. Ukiwa na hizo taarifa mfano location, model ya camera utajua aina ya simu, time.. kwa wenzetu ulaya maeneo mengi yana CCTV wanaweza pitia pitia humo kupata point point ... sema nipo maji ningeendelea kuandika
Mjep cocastic Christine1
Thanks.

