Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabla hujatuma picha humu uliyopiga kwa cm yako hakikisha hakuna metadata inayoambatana na hiyo picha. Otherwise your privacy is at risk. Jina feki la jf halitakusaidia
Metadata ndiyo nini sasa mbona unaongea mambo magumu chief
 
Yani nivokisa nimeliaajeeee!! Shos nitakutumia hela uninunulie viwalo vya swagger unisendie Mie khaa bushi kunanizeesha walai!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaa angu unanichekesha, utaweza lakini? Mwenzio mie akili yangu inaji sett enyewe. Sina hata mda wa kuwaza woiiiih
 
Wewe huku ni wananishangaa mpaka nitajiogopa kha!! Na akili yangu baasi ishakua ya kijijinijijini basi Tafrani tupu shos!
 
Metadata ndiyo nini sasa mbona unaongea mambo magumu chief
Taarifa zinazoambatana na picha. Mfano mdogo tukichuka hiyo picha na kuanza kuichunguza tunaweza kujua aina ya cm iliyopiga, eneo ilipopigwa, muda n.k. hizi taarifa huambatana na picha na sio lazima zionekane kwa macho na sio taarifa ya awali anayoihitaji mtu wa kawaida. Uchunguzi wa kisayansi ndio unawezesha kupata hizo taarifa kama vile digital forensic n.k.
 
Back
Top Bottom