Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah huko hukosi basiNipo uswahilini Tandika ndanindani huku[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Maduka ya wapemba kama yote
Ah huko hukosi basiNipo uswahilini Tandika ndanindani huku[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] a can't imagine ilikuaje? Hebu nidadavulie Mr kahawa, kilichofuata. Woiiiiiiiiiiiih[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mie mwenyewe ilinitokea nimechukuw pisi kali CBE hao club, mtoto kila saa yupo na lijamaa.. nika mind naambiwa huyo kaka.. nikaondoka kichwa chini.. [emoji1][emoji1][emoji1].. mdada akarudi kesho jioni kutoka kwa kaka yake.. Bwana Athumani sio Mungu, yule dada akaja miaka zaidi ya 10 nikakutana nae anatafuta nyumba na akakutanishwa na father house mie mwenyewe mbona alifurahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bina wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soksi mda wote sitaweza mie.
Unaangalia sistas ya Tyler??
“Madanga ya Mke wangu”
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mambo ya wakubwa hayo acha ninyonyee kwa mama
Nikaondoka kichwani chini, na masikitiko.. ya kaka kumchukua dada yake live.. 🥲🥲 nilisikia ushunguuu sana ila mkaka alikuwa mbavu huyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] a can't imagine ilikuaje? Hebu nidadavulie Mr kahawa, kilichofuata. Woiiiiiiiiiiiih
Ah sikuwa nazifahamu hizi kabla
Nikawa natumia kunde za kawaida naloweka usiku kucha .
Hizi nimezipenda mno ..
acha nikakojoe nilale mie 🥲🥲Hamna mjomba...
[emoji23][emoji23]
Maduka makubwa kukutana nayo huku kitaa ni msala.
Nitawauliza wale wanauza bagia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yeah nimepika nimeona hiloZa kuparaza hazichukui muda dear...
Yap ni comedy drama ndio naingalia kipindi hiki.Hapana
Inaonekana ni commedy eeh ?
Kuna commedy fulani naipenda inaitwa Carol's second act .
Ila wananiudh wanachelewesha. Umefika season ya ngapi Sistas?Ninaangalia mie ni [emoji91]
Na oval pia
Nipo uswahilini Tandika ndanindani huku[emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
acha nikakojoe nilale mie 🥲🥲
Ooh comedy huwa ni nzuri sanaYap ni comedy drama ndio naingalia kipindi hiki.
Hiyo ya Carol's second act ndio naiskia kwako, nitaitafuta pia.
Ila wananiudh wanachelewesha. Umefika season ya ngapi Sistas?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikua hatareeeeh, mnooo.Nikaondoka kichwani chini, na masikitiko.. ya kaka kumchukua dada yake live.. 🥲🥲 nilisikia ushunguuu sana ila mkaka alikuwa mbavu huyoo
nilimfurahisha siku kaja kupanga kwangu, alilipa bia zangu zote 🤣🤣🤣 na alizo kunywa kaka yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikua hatareeeeh, mnooo.