tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,830
- 8,246
Ndio ila umeificha sana mkuuUmeiona ila
Ndio ila umeificha sana mkuuUmeiona ila
Wacha kabisaaaa.na umepitwa kweliii !! ni Pande la mtu haswaa!!
Kumbe ndio maana wanataka ata sie walala hoi tuweke vocha hapa. Aisee kweli gutaiahi kuwala kwa macho watoto wa selfika😁😁😁😁 wengine wanaishi kweli mkuu kuna big boys humu wana mwendo wa manyato yani pigo zao ni 🔥🔥🔥
🤗🤗🤗🤗🤗Nimeiona hiyo 'I Want It That Way' was🔥🔥
Let's enjoy it while it lasts😍
Sasa ile picha haieleweki ndo maana nimeficha vileNdio ila umeificha sana mkuu
😀😀😀Kumbe ndio maana wanataka ata sie walala hoi tuweke vocha hapa. Aisee kweli gutaiahi kuwala kwa macho watoto wa selfika
Acha utaniSasa ile picha haieleweki ndo maana nimeficha vile
Hawa mashemeji zetu tuu mkuu, kamba zetu fupii .. acha sie wengine tuishi ligi za mchangani hukuu .. huku pa moto 😄Kumbe ndio maana wanataka ata sie walala hoi tuweke vocha hapa. Aisee kweli gutaiahi kuwala kwa macho watoto wa selfika
Kweli MkuuAcha utani
Nikisikiliza hizo lyrics huu msosi unashuka vzuuri😋😍😍
Kweli mzee yasije tukuta ya jamaa wa mwanza...kumg'ang'ania vizuri wkati hatuna helaHawa mashemeji zetu tuu mkuu, kamba zetu fupii .. acha sie wengine tuishi ligi za mchangani hukuu .. huku pa moto 😄
Hahahahah mbavu cna,nimekoma mimi nimekomaaa!! wacha nikae kwa kutulia asee!!
Tena sikuhizi sipaelewi elewi kabisa humu!!! Nimehisi kitu!!wee sema tyuuh hivyo, utajibebaa.
Sina mbavu hapa, khaaahYesuuu anisaidie walai!! Natulia shos natulia!!





JF hii mwayaa, je unayaweza? Wenzio wengine heka heka ndo sehemu ya maisha, usije ukatia huruma bureee,Tena sikuhizi sipaelewi elewi kabisa humu!!! Nimehisi kitu!!







😘😘😘😘Nikisikiliza hizo lyrics huu msosi unashuka vzuuri😋😍😍