Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante kama utanitetea, maana nataka kupewa kesi mchana kweupe na mahondaw ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Upo salama salmin.. jiachie katoto kazuri maisha ndio haya hayaaa ๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
1341B080-B9AA-4AF1-BE61-F43DD25D2B7C.png
 
Morena kumefanyaje tena? Wewe hapa selfika tunaishi maisha ya nadharia...hiyo morena naonaga tuu....chakula changu mie wali maharage...pale morena hiyo haipo kwenye menu
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ wengine wanaishi kweli mkuu kuna big boys humu wana mwendo wa manyato yani pigo zao ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Back
Top Bottom