Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Endelea mama [emoji7]Ahsante mdogo angu, ngoja niendelee kujaribu kupambana na fashoooon
Endelea mama [emoji7]Ahsante mdogo angu, ngoja niendelee kujaribu kupambana na fashoooon
Nawe Kama mie tu[emoji23]Dada nasema tu[emoji1787][emoji28][emoji23]
Kiwasheni leo mmalizane kabisaa 😅😅😅😅 mshindi anapata anacho stahili, msifiche magonjwaaa siku ingine yakiwa sugu yatawasumbua 😀😀😀😀 Lenie anakupa Hi anadeka kwa mie babu yakeNa wewe menejaa wa masnichiiii
Bingwa wa kutungia watu story
Uachage la hasha deal na yako.
Watu washakujua… ngoja siku ulivagae kw mtu asiye na akili aruke na wewe.
Pakuficha ID yako utapatafuta nakwambia..
Ndiyo nawajia😀😀😀 ... tupo msamvu hapa kwa njeee ukiona wanapendana wanataniana wana tekenyana huku wanakimbia ujue ndio sie 😀😀😀 kama wahindi vile
hahahaha.tupo humu walinda aman na wanadiplomasia.ugomvi haufaiWakisheni leo mjua mbivu na mbichi ili kamchezo kafeee 😀😀😀 linalowezekana leo limalizwe leo ngoma ya watoto aikeshi 😅😅😅
Hii chirt chart kila unachoona humu ni movie usiingie mkengee ni ka bongo movie hakaaa 😅😅😅😅😅 kama hujui watu hawapo seriousMkuu haya mambo sio mazuri kabisa naomba wayamalize tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hadi litokee jambo, hatutaki kuwa wagomvi.Wakisheni leo mjua mbivu na mbichi ili kamchezo kafeee [emoji3][emoji3][emoji3] linalowezekana leo limalizwe leo ngoma ya watoto aikeshi [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda ugomvi wee?Nitakupa hadi siku kikiumana humu[emoji95]
Maana kila siku mnasema kiyaumana na hakiumani,mafumbo tu khaaa!
NdyooooooohUsijali,kikubwa bando tu[emoji23]
Mshindi nampa zawadi nono 😅😅😅😅 ma akiwa double tutamlipia hotel nyota tano akapumzie na hubby wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hadi litokee jambo, hatutaki kuwa wagomvi.
mambo ya wazungu haya 😎😎😎😎Hebu tunen pichaView attachment 2245897
raha ya ugomvi mtu alambe mchangaaa 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda ugomvi wee?
Woyoooooooh, warembooooh.Hebu tunen pichaView attachment 2245897
Watu wana act movie humuuu 🤣🤣🤣🤣🤣 unaweza umiza kichwa kumbe ni scene tu🙌Basi ngoja nikae pembeni 😁
Je km hana hubbie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshindi nampa zawadi nono [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ma akiwa double tutamlipia hotel nyota tano akapumzie na hubby wake
😃😃😀 Alicia keys tena mim napita tuu sina hata pichaAhsante Alicia Keys. Nimemiss selfie yako🤣🤣
Weraaaaaah weraaaaaah.raha ya ugomvi mtu alambe mchangaaa [emoji3][emoji3][emoji3]