cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
Sis huyu dada sio kwa text zile, Ushabiki hauwagi hiviShoo na wewe
Si ungechukulia poah tyuh
Wee lazima tuoneshane aseeeeh.
Sis huyu dada sio kwa text zile, Ushabiki hauwagi hiviShoo na wewe
Si ungechukulia poah tyuh
Mtu alikuwa anapigwaa hapa yaani [emoji276][emoji276]
View attachment 2234720
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha tyuuh, mbna mbuzi kafia kwa muuuza supu.Ah aisee
Huyo analo hahaha
Hapo atakuheshimu lol asije lia bure [emoji23]
Sijui hata unaitwaje. Naufahamu tu hivyohivyoNdyoooooooooooh.
Afu ule msikiti ni wa wilaya au?
Mtu alikuwa anapigwaa hapa yaani 🌚🌚
Umependeza mnoo mnooooo baba pasta!!Mtu alikuwa anapigwaa hapa yaani 🌚🌚
Kwamba nimepitwa?Mjombaaa si unaona ulivyotoka poa....
[emoji91][emoji91]
Sitosahau kunguni niliokutana nao humo aise!
Thank you rafiki.
Hahaha coca .[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha tyuuh, mbna mbuzi kafia kwa muuuza supu.
Woiiiiioh.
Umependeza mnoo mnooooo baba pasta!!
Hili dude zima linauzwaje?Pangeni mstari nikugawieni[emoji8]View attachment 2234496
Ndani ya jumba😍Mtu alikuwa anapigwaa hapa yaani 🌚🌚
Badae wizo
Acha nimsikilize baba ss kuna matangazo
Ewaaaaaaaaa🥰🥰🥰
Naona na kwa Tinsley nimepitwa pia. Itakuwa nimeanza kusinzia, ngoja tu nikalale😆😆Mjomba kapendeza vibaya mnooo....
Ooh AsanteThank you rafiki.
Walau hukuniacha bila bila.
Asante shangazi!!😘😘[emoji3059][emoji3059]
Kajisemea mjomba hata uvae gunia unapendeza tu...
Ndio uzuri wa kupata baraka za Muumba[emoji2]