Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pangeni mstari nikugawieni
IMG-20220522-WA0018.jpg
 
Weeeee acha masihara
When it comes kwenye hilo eneo, Nishaacha watu ,sitaki utani!
Unafikiri kwann baadhi ya watumishi kitu cha Mungu kinakufa?
Adui nae yuko standaby kukuletea mtu aliyebeba kitu kitakachoua cha Mungu ndani yako!
Ndo maana kuoa/kuolewa /kuzaa watt kwa watu walio okoka ni zaidi ya vita vya tatu ya dunia!

Sbb adui anajua unazaa kitu ambacho hakijabeba mbegu yake,anajua unazaa adui yake!
Kumjua mtu kama wako simple sana.. hakuna LUST kati yenu ya aiana yoyote ni indication mpo covered na Glory 🤭🤭🤭 ila kama mkijatamani kujila , hamna kitu hapo .. mnaweza msijile ila kimoyo moyo mnatamaniana hiyo nayo sio, mkikaa sehemu hali ya hewa inachange kuwa utulive na hofu ya Mungu huyo sawa, ila kama mkikaa chobingo mahesabu makali yanaanza vichwani 😅😅😅 jiongezee nazungumzia uzoefu, spiritul ambayo ni physcial
 
Back
Top Bottom