Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

PXL_20220521_215759063.jpg
 
mawardat

Mlongo ona hapa, afu kumbe hii gari ni mpya kabisaa, na leo ndo ilikua inazinduliwa, afu ilikua ni buree hakna nauli.

Jaman huyu mbena atamaliza wangoni, khaaaah wee ajari ni gari zake tyuuh, au ndo km tetesi zinavyosikika, naamini sasa na mie.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] afu eti yeye anaulizia gari yake km ipo hali nzuri, mweeeeh

Dereva kavunjika mkono, konda na tingo wamepata majeraha makubwa na wengine pia.

Uwiiiioih had naogopa kusafiri.
View attachment 2234756
 
Duh so sad
Mungu awaponye majeruhi
Amen
 
Mwakasege is a excellent teacher of the Word...and a humble one [emoji1545]
Kabisaaa
 
Sijambo mjomba...

Ni majukumu ya ujenzi wa taifa tu...

Sijui wewe u hali gani?
Pole kwa heka heka za ujenzi wa taifa

Mimi sijambo kabisa...

Ndo nimetoka kwenye ibada hapa...

Yaani full upako...

Yesu Akitokea sasa hivi mawinguni haki ya nani natoboa [emoji16][emoji16]

Mungu Atubariki shangazi [emoji1545]
 
Back
Top Bottom