Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Naona na kwa Tinsley nimepitwa pia. Itakuwa nimeanza kusinzia, ngoja tu nikalale[emoji38][emoji38]
Usilale ndio mida hii mambo yanachangamka[emoji2][emoji2]
Naona na kwa Tinsley nimepitwa pia. Itakuwa nimeanza kusinzia, ngoja tu nikalale[emoji38][emoji38]
Ulikuwa umepotea shangazi....[emoji3059][emoji3059]
Kajisemea mjomba hata uvae gunia unapendeza tu...
Ndio uzuri wa kupata baraka za Muumba[emoji2]
Unafanya kusud kuniliza basi tu[emoji26]
Ulie kisa nini mdogo wangu???Unafanya kusud kuniliza basi tu[emoji26]
tupia tupia shangazi!!Usilale ndio mida hii mambo yanachangamka[emoji2][emoji2]
Nafika tu kutoka kwenye ibada nakutana na Bosi Ledi. Ngoja tuone huu upako kama utasavaivu!
Vidole flani vifupi vimejaa vizuriHamna ni vidole tu
Wengine sie wavivu kupiga picha
Safihii mada tumuachie mzabzab mie simo [emoji28][emoji28][emoji28] mie wote flesh.. ulipendezaa kwa semina wamesemaje
Umeona eeh
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mbona km nimepitwa na picha yako jmnNjoooooo
Hahahaaaa.... wewe ndio umegoma mazima????!!🤔🤔🤔Nafika tu kutoka kwenye ibada nakutana na Bosi Ledi. Ngoja tuone huu upako kama utasavaivu!
Vita ni vya Bwana [emoji1545][emoji16][emoji16]
Ulikuwa umepotea shangazi....
Hujambo?
tupia tupia shangazi!!
ivoivo shangazi tubariki pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Nina jipya basi mpendwa..
Nilikuwa kwenye ibada Mkurugenzi. Ni kweli nimepitwa ila haina neno...Nitamhadithia mkurungezi
Najua amepitwa
Tinaaaaaaaa💕💕💕[emoji3][emoji3]kumbeView attachment 2234749