Ndiyo nkamu. Unakuta kakijana kadogo below 25, tayari kana watoto watatu, kila mtoto na mama yake daah.Hali ni mbaya kwamba wanaume tumekua viwanda vya kuzalisha nkamu??
Uuuh what a privilege...Tuko pamoja
Niko kahama!
Alipo baba na mi nipo!
Mwezi ujao dar!
Sijui km utaelewekaLove ( agape kind of love ) linabaki the same halina wave, but feeling zina badirika na wengi wanachukuana kwa feelin not love.. Pendo ( Love ) haliyumbi love is above all.. that why GOD is Love![]()
Amen


Watapeana kampani 😂😂😅😅😅 atabikia na FIB
hahahaha.namsoma mama mchungaji wa selfikahahaha.. umelisoma
Kwa kweli hatuna upendo wa Agape; tuna conditional love; lazima umeet vigezo vyangu kadhaa ndiyo uwe na mimi. Na ndiyo hiyo, leo ntaamka nakufeeeeel, kesho sikufeel kivile, kesho kutwa nakufeel tena. Basi mapambano yanaendeleaLove ( agape kind of love ) linabaki the same halina wave, but feeling zina badirika na wengi wanachukuana kwa feelin not love.. Pendo ( Love ) haliyumbi love is above all.. that why GOD is Love![]()
Na wengi wana feeling not Love.. mwanaume akiwa anakupenda au real love lina cansel Lust.. kwenye Upendo wa kweli hakuna tamaa hakuna lust unaweza lala nae na asikule ila unakuwa na peace ndani yako furaha etcSijui km utaeleweka
Feeling ni noma!
Hiyo ni eros kind of love .. ambayo under control ya feelin , mazingira na lust of eyes 😅😅 hii ni 😋😋😋 kwenda mbeleKwa kweli hatuna upendo wa Agape; tuna conditional love; lazima umeet vigezo vyangu kadhaa ndiyo uwe na mimi. Na ndiyo hiyo, leo ntaamka nakufeeeeel, kesho sikufeel kivile, kesho kutwa nakufeel tena. Basi mapambano yanaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi kabisa mwakani eeeh ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤Watapeana kampani 😂😂
Weeeee acha masihara
i.e. Erotic/sexual/passionate LoveHiyo ni eros kind of love .. ambayo under control ya feelin , mazingira na lust of eyeshii ni
kwenda mbele
Noma sanaHiyo ni eros kind of love .. ambayo under control ya feelin , mazingira na lust of eyeshii ni
kwenda mbele
BadaeHiyo ni eros kind of love .. ambayo under control ya feelin , mazingira na lust of eyeshii ni
kwenda mbele
Bila kwemda rohoni.. cha kwanza kama ni mtu mnaendapenda hakuna Lust kati yenu, mnaweza lala hapo msifanye uzinzi, na ukikaa nae mda wote unakuwa na peace na upo comfortable.. hiyo ni simple ku prove huyu mtu ndie au sie... ni sawa na mtumishi kama inatokea una mtamani it means huyo mtumishi hana groly kuna lust hapo lala mbele... hiyo ni kanuni nyepesi kabisa ya kujuwa huyu sio au ndio.. maana pia vijana wengi wanaingia mkenge kutegemea ndoto na maono pasipo kusahahu mtu anaweza kuamulu malaika wake akaja na ujumbe flani kwako ukahisi ndio huyo 😅😅😅😅Weeeee acha masihara
When it comes kwenye hilo eneo, Nishaacha watu ,sitaki utani!
Unafikiri kwann baadhi ya watumishi kitu cha Mungu kinakufa?
Adui nae yuko standaby kukuletea mtu aliyebeba kitu kitakachoua cha Mungu ndani yako!
Ndo maana kuoa/kuolewa /kuzaa watt kwa watu walio okoka ni zaidi ya vita vya tatu ya dunia!
Sbb adui anajua unazaa kitu ambacho hakijabeba mbegu yake,anajua unazaa adui yake!
Badae wizoKwa kweli hatuna upendo wa Agape; tuna conditional love; lazima umeet vigezo vyangu kadhaa ndiyo uwe na mimi. Na ndiyo hiyo, leo ntaamka nakufeeeeel, kesho sikufeel kivile, kesho kutwa nakufeel tena. Basi mapambano yanaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app